Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko tayari kulipa gharama hizo lakini gaidi afungwe. Miaka yote wewe vibaraka wenzako mnaimba hizo ngonjera lakini misaada inaendelea kumiminika nchini.Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.
Madaraka bila maarifa ni maafa.
Mtakuja kuniambia.
Hiyo kwa kinyakyusa tunaita 'they are going to dance to their tune'Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.
Madaraka bila maarifa ni maafa.
Mtakuja kuniambia.
Acha kutisha watu mangi mbowe ni hadi aogopwe kufungwaMungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.
Madaraka bila maarifa ni maafa.
Mtakuja kuniambia.
Hata kwa sabaya waitii piaMuelekeo wa hiyo kesi ni sawa na hukumu imeshatoka, majaji wenu wanatii maelekezo yenu vizuri sana, sioni haja ya kuisubiri hukumu tena, labda tusubiri muda wa kifungo tu.
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.
Madaraka bila maarifa ni maafa.
Mtakuja kuniambia.
Watu ambao kwa miaka 60 ya uhuru wameshindwa kutatua matatizo ya maji na umeme, kwanini wasikimbilie kufungulia wapinzani wao kesi fake za kisiasa kama walivyofanya Makaburu?
Bora hata Makaburu walileta maendeleo huko Afrika kusini kuliko CCM hii iliyoleta umasikini kwa watu wake
AminaMungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.
Madaraka bila maarifa ni maafa.
Mtakuja kuniambia.
Kinachomkuta Mkenda hadi kutukanwa kama mbulula ni laana za uchaguzi. Kile kitu hadi akiteme.Hivi si hata kuvuruga uchaguzi na wale Covid 19 mlisema serikali itakatiwa misaada kwa kuwa inakiuka demokrasia?
Je, serikali ilikatiwa misaada?
NonsenseHeee.....Mzee Baba Kakutwa Gaidi Kweli? Ngoja hukumu itoke ...!
NonsenseMbona unatoa hukumu wakati kesi inaendelea!!
Kama kweli alikuwa na nia ovu ya ugaidi, nchi gani duniani itakubali kufanya hayo unayodhani yatakuwa!!!
Tutakuwa tumetangaza ugaidi wataleta vikosi vyao.Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
nonsenseWatu wanapewa mahela ya covid19 na mahela mengine alafu anatokea mwehu anasema hawapewi misaada sababu ya gaidi mbowe