Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #61
Hey Demi ujaelewa kitu kimoja..Ni kwamba alikuwa hivyo tangu hujawa nae. Wasioenda club wapo wewe kwanini uwe na huyo? Uchaguzi wako haukuwa sahihi...
Wewe unavyotoka na mishangazi anakuvumilia mbona
Ngoja nikuletee ka-mtogwa uendelee kuchapa kazi.Mimi kaniharibia siku kuisema pombe ..
Sio issue disco kwann abambiweAcha dada wa watu aende disco. Nenda church huko ukatafute mwingine
Kwani ni lazima umheshimu anayelewa. Tafuta asiyelewa ndio umheshimu mbona wapo wengi tu wasiotumia kilevi?Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.
I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Kapakize kwenye upendo busπNgoja nikuletee ka-mtogwa uendelee kuchapa kazi.
Huenda alombambia ni mtu wake ..mbona makasirikoSio issue disco kwann abambiwe
Why unasimama upande wake as if wewe unafanya hayo mambo
Nilikua nakuheshimu sana mkuu..Wewe ndo mwenye shida, sasa mdada kulewa na kubambiwa tΓ tizo liko wapi? KΓ ma huna hela za kumlewesha na kumbambia anakuona tΓ kataka tuu.
Am tired aiseeee...kuna kitu inaitwa kujiheshimu mkuu hii watu wengi hawana saivi
Nipo hapa NBC Mshindo ndiyo nateta na konda aufikisheje mzigo hadi ulipo.Kapakize kwenye upendo busπ
Mrs na wewe sasa kama angekua sio mtu wangu ningekuja kulalamika hapaHuenda alombambia ni mtu wake ..mbona makasiriko
Asante ..Pole kwa yaliyokukuta
Anavizia chombo kumbe kina fundi wake.Noma kinomanoma!Huenda alombambia ni mtu wake ..mbona makasiriko
Tuwakute ambao official ni wanafanya kazi pale mkuu..Wanaume hatupendi wanawake wanaoenda bar, ila tunataka tukienda bar tukute wanawake.π
Mkuu tuwe seriously kidogo...Pole kwa yaliyokukuta anza kumkagua malinda
Kuna bokoharam keshamteka.Umekwisha.Mrs na wewe sasa kama angekua sio mtu wangu ningekuja kulalamika hapa
Pandisha hiyo status hapa jukwaani tuone ukubwa wa tatizoMkuu sio kwamba sijui kuchagua.. kuna mijitu inajificha sana katika kupindi cha courtship...
Sasa huyu sijui alikua na mavi kichwani mpaka kashindwa kuwa humble kwanza..
An seriously anaweka na status yaani kagala gala chini kabisa jamni
πππ Wewe yule mdogo ako mfundishe mwambie aache ushambaMimi kaniharibia siku kuisema pombe ..