Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Nilikua nakuheshimu sana mkuu..
Ila kwa sasa acha nikwambie tuu ukweli umezingua
Jiongeze, nimekupa ujumbe wanawake walivyo.
Kama unaona nimezingua basi wewe bado huwajui wanawake.
Mnaambiwa muoe bikra, kama siyo bikra ujue keshapitia hizo hatua.
 
Hivi kuna pombe inalewesha vibaya kama wine? Mimi ni mlevi wa pombe kali mchanganyiko lakini sikukuu ya mwaka mpya nilikunywa pombe zangu kiasi nikaenda nyumbani nikanywa wine glass 1½ nikalewa vibaya mpaka kesho yake asubuh nikaamka hovyo
Unajua mkuu,watu hasa hawa masista duu huwa hawaelewi,huwa wanahisi kunywa wine ni fashion kumbe ni pombe flani yenye kilevi kikali,mfano chukulia wine pendwa yao saint Ann ina alcohol 11 au 12 kama sikosei,hiyo mtu ukipiga mbili tu lazima uzime fegi.
 
Washamba tuu
 
Acha watu wale raha..maisha ya duniani ni mafupi sana.
Afu nikuambie kitu we mlokole,hao wadada unaoona wanakunywa pombe sijui ni waenda disco,huwa hawatombeki kirahisi kama hao walokole wenzio.
Kaka kaka ebu acha mambo yako
Sawa hawatombeki...sawa sawa jua hvo hvo mi nishakula sana mashangazi wa namna hiyo wansema zinakbilia chini
 
Kwani c ulikua useme tu kumbe ni mlevi

Najua watakuja wanywaji wajitete apa kuwa kuna wanywaji na walevi ila me w
nasema wote ni walevi tu 😄
Naona wamekuja et wanatetea tetea jamni iwekwe wazi tuu pombe jau
 
Unajua mkuu,watu hasa hawa masista duu huwa hawaelewi,huwa wanahisi kunywa wine ni fashion kumbe ni pombe flani yenye kilevi kikali,mfano chukulia wine pendwa yao saint Ann ina alcohol 11 au 12 kama sikosei,hiyo mtu ukipiga mbili tu lazima uzime fegi.
Hii pia nilijifunza nikipata kibint kisichokunywa pombe nakidanganya kimywe juece inayoitwa wine 😁
 
Shida yako nini wewe au ukuda tuu wa kishamba, jifunze to mind your own business
Kama kashakua ni mtu wangu yeye pia ni miongoni my business...

Mambo mengine tumia critical thinking usipelekeshwe na emotional faza
 
Back
Top Bottom