Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Kama kashakua ni mtu wangu yeye pia ni miongoni my business...

Mambo mengine tumia critical thinking usipelekeshwe na emotional faza
Ooh sikukusoma vizuri ni mtu wako, lakini acha kulialia mitandaoni, mpige chini tuu, watoto wa 2000 wengi sana tena wazuriiiiiii
 
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Kwahiyo mkuu, wanawake wanaokunywa na kwenda club hawapaswi kuheshimiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…