Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Wewe ndo mwenye shida, sasa mdada kulewa na kubambiwa tàtizo liko wapi? Kàma huna hela za kumlewesha na kumbambia anakuona tàkataka tuu.
 
Wewe ndo hujui kuchagua. Wadada waliotulia wapo wengi tu
Mkuu sio kwamba sijui kuchagua.. kuna mijitu inajificha sana katika kupindi cha courtship...
Sasa huyu sijui alikua na mavi kichwani mpaka kashindwa kuwa humble kwanza..

An seriously anaweka na status yaani kagala gala chini kabisa jamni
 
Back
Top Bottom