Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #141
You are attacking me personallyBana=bwana
Bana ngengee=Bana Nyangulanyangula.
NB;Wenge litapoa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are attacking me personallyBana=bwana
Bana ngengee=Bana Nyangulanyangula.
NB;Wenge litapoa tu.
Jinga kabisa hawa watuHuwa wabishi hao na mostly wanaongea pumba
Ok, let's not tune in to the king of clout chasing 😂🤣We should stay away from these things.
Ooh sikukusoma vizuri ni mtu wako, lakini acha kulialia mitandaoni, mpige chini tuu, watoto wa 2000 wengi sana tena wazuriiiiiiiKama kashakua ni mtu wangu yeye pia ni miongoni my business...
Mambo mengine tumia critical thinking usipelekeshwe na emotional faza
Ukishamix kwisha habari yakoNaweza kunywa k vant ndogo 3 ila hiyo siku nilikunywa safari kubwa 2 na hako kawine
Mkuu kupiga Chini ni simple like that et...?Ooh sikukusoma vizuri ni mtu wako, lakini acha kulialia mitandaoni, mpige chini tuu, watoto wa 2000 wengi sana tena wazuriiiiiii
Na wewe ntashangaaa kama ukiwa una tetea huu utopolo aiseeeAkikujibu nitag
Kwa mtoto wa kike pombe siyo kabisa - ku date na demu mlevi ni risk.Kulewa sio tatzo.... shida n akilewa anakuwa ni mtu wa aina gani.
Hakuna kitu cha hovyo kuzidi mwanamke mleviKulewa sio tatzo.... shida n akilewa anakuwa ni mtu wa aina gani.
FactKwa mtoto wa kike pombe siyo kabisa - ku date na demu mlevi ni risk.
Umenikumbusha mshindo...😁..those days akifika mikumi aniambie nianze jiandaa!agiza dumu 2 swela beNipo hapa NBC Mshindo ndiyo nateta na konda aufikisheje mzigo hadi ulipo.
Kwa nini sasa?Sijawahi na sifikirii
Hakika sina sababu ya msingi kwakwelKwa nini sasa?
Vizuri...Hakika sina sababu ya msingi kwakwel
Kwahiyo mkuu, wanawake wanaokunywa na kwenda club hawapaswi kuheshimiwa?Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.
I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
U-freshUnatumiaga nini?
kam wewe ilivo furaha yako mashangazi,, nasisi tunakuona chiziSasa ndo furaha yake kubambiwa..
Si uchizi huo
What a qn🤣🤣Kwahiyo mkuu, wanawake wanaokunywa na kwenda club hawapaswi kuheshimiwa?