Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Mpako hapo ameshashikwashikwa mara ngapi hata wewe ndio uone nongwa kwa kushikwashikwa kwake na ana miaka mingine 20 mbele ya kubambiwa
 
Yeye km hana pesa ya kulewa sio shida zetu, divai iheshimiwe na watu wote 😹

Kwanza heshima ndo kitu gani? Aliyemwambia tunataka kuheshimiwa nani?? 🤣
Kuna jamaa kwenye Uzi mmoja alikuletea shobo nilipenda jinsi ulivyo mpiga spana mpaka jamaa aka toka nduki
😊🙌
 
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Ifike mahali kila mtu aishi maisha ayke, kufuatilia snaa maisha ya watu utajihesabia sana haki
 
Hivi kuna pombe inalewesha vibaya kama wine? Mimi ni mlevi wa pombe kali mchanganyiko lakini sikukuu ya mwaka mpya nilikunywa pombe zangu kiasi nikaenda nyumbani nikanywa wine glass 1½ nikalewa vibaya mpaka kesho yake asubuh nikaamka hovyo
Duh basi mwili wako upo tofauti na wengine. Pombe kali mimi sithubutu. Wine hata chupa mbili nakunywa na nipo vzr
 
Back
Top Bottom