Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

Luis 505

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
676
Reaction score
948
Screenshot_20250331-152424_1.jpg


Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi.

Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
 
Wale mama mkwe wa kujitanda vitenge siku hizi hawapo tena mkuu
hao wanaojitanda vitenge na makanga siwapati siku hizi, msela unaenda kuchumbia binti unakuta mama yake ni sistaduu. Mama anamuambia binti yake mzee wako ni saizi yangu! Halafu mama mtu anaanza kuleta mapozi ya kimahabahaba, mara avae kimini na kiblauzi kata matiti, mara avae skini taiti, mara avae pedo, sasa huyo ni mama mkwe au muhuni?
 
Ilikuwa ni suala la muda tu ufike tuone hawa wama mastaa singo maza watapata wakwe wa aina gani baada ya mabinti zao kuwa wakubwa na kuolewa. Bado hatujaona kwa watoto wa kiume hao wamama watapata wakwe mwana wa aina gani. We mama umeishi maisha ya usimbe/usingo maza utakubali watoto wako waolewe wakaishi vema na waume zao? Kwa maadili gani uliyonayo wakati we mwenyewe umeishi kihunihuni tu?
 
Back
Top Bottom