Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa hiyo tunarudi tulikotokaMambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Kwa hiyo tunarudi tulikotokaMambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Mkuu, sipati picha siku connection ya mama mkwe Kajala Ina leak analiwa kiboga hahhahaaani changamoto kuwa na mama mkwe dizaini hii, sometimes huwa wanazingua nyie hamjui tu unapokuwa na mama mkwe wa kisasa
Tumjue ili iweje? Au atusaidie nini?View attachment 3288798
Hongera sana Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. There's a brighter future "behind her"
Ili utengeneze naye connection mkaiweke twira.Tumjue ili iweje? Au atusaidie nini?
Zamani ukiona maumbile kama mapaja ya mama mkwe wako hata kwa bahati mbaya, basi utapiga magoti kuomba Mungu akuondolee ile taswira ndani ya ubongo wako.Hawa ndio wanachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya nguvu za kiume, mana mwanamke wa zamani alijistili sana yani kuona uchi wake ungelala umesimamisha usiku kucha, kwa sasa hamna jipya hata akivua umeshazoea kuyaona mala kwa mala.
Yaaani mama mkwe wa mtu unamuita bitch?? HahahaaNina ndoto za kuja kumnyqndua huyu bitch siku moja
🤝🤝🤝Tulianza uchi kwa mujibu wa historia
utalia machozi ya mamba kuwa na mama mkwe mwenye umri mdogo. Huwa hawachelewi kuharibu ndoa za watoto waoMama mkwe wangu mkubwa kuliko wote amezaliwa mwaka 1988. Wengine ni 89 to 1990. Watoto wao wamezaliwa Kati ya 2005 hadi 2006.
Mimi nimezaliwa 85.
Siku hizi nikitaka demu namuuliza kwanza mama ake kazaliwa mwaka gani.
Kama ni 85 kushuka chini simtaki..
Mama mkwe wa 85 mzee hivyo wa kazi gani. Mama mkwe at least kuanzia 87.
Huu mshangazi, una kitu gani cha kuingiza fweza zaidi ya kuuza msambwanda!?View attachment 3288798
Hongera sana Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. There's a brighter future "behind her"
Hivi wale wamama wanaolea vijana ,wale vijana huitwa marioo ina husiana vipi na marioo kama msanii ,hili huwa najiuliza sana🤔🤔🤔Marioo anakula kuku na mayai yake