Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Aina hiyo inaweza kuhudumia mkwe binti akisafiriDuuuh wakwe hawa
Aina hiyo inaweza kuhudumia mkwe binti akisafiriDuuuh wakwe hawa
Yes hakuna jipya chini ya jua aiseeMambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
View attachment 3288798
Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. There's a brighter future "behind her"
Kiukwel ndiyo maana wanaosema kabla hujaoa angalia feedback ya familia unayotaka kuoaAina hiyo inaweza kuhudumia mkwe binti akisafiri
YesKiukwel ndiyo maana wanaosema kabla hujaoa angalia feedback ya familia unayotaka kuoa
Wanawake mnajuana. Sisi wanaume hatujali cha msingi ana papuchi tu.Tulia wewe. Utaliwa kibonga shauri yako.
Ndo wanaishiaWale mama mkwe wa kujitanda vitenge siku hizi hawapo tena mkuu
Mario ndio Mtanzania wa Kwanza kuona chupi ya Mama Mkwe wake. 😁😁😁😁Mambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Vipi naweza pata mama mkwe hapa anayevaa kitenge kabla hawajaisha?Ndo wanaishia
Inategemea unaoa,umeoa wapi/nani?Vipi naweza pata mama mkwe hapa anayevaa kitenge kabla hawajaisha?
ArooInategemea unaona,umeona wapi/nani?
kama mtu mbadi Tembo, alikula kuku na mayai yakeNingekua mimi ni Mario,ningekua namtia huyu mama mkwe pia.