Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 3,167
- 5,661
Tutamaliza hvyohvyo....Mambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Tutamaliza hvyohvyo....Mambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Naunga mkono hoja!Tunaopita pita sexmex huko tunaona kawaida tu kula kuku na mayai yake,, sema Kondeboy hakufika bei,, ubahili tu
Sure broTutamaliza hvyohvyo....
Kwani kuna kozi ya kusomea umama mkwe?hao wanaojitanda vitenge na makanga siwapati siku hizi, msela unaenda kuchumbia binti unakuta mama yake ni sistaduu. Mama anamuambia binti yake mzee wako ni saizi yangu! Halafu mama mtu anaanza kuleta mapozi ya kimahabahaba, mara avae kimini na kiblauzi kata matiti, mara avae skini taiti, mara avae pedo, sasa huyo ni mama mkwe au muhuni?
Kozi ipo mkuu. Mwalimu ni Wema Sepetu.Kwani kuna kozi ya kusomea umama mkwe?
Na hapo ndipo ulipoibuka ule memory wa Wamakonde Wachoyo siku hizi masistaduu wa mjini na mishangazi iliyokongoroka acha hii mishangazi ya 2000, huo ndio msomo wao pendwa kwa Mwanaume Bahili Mmakonde Mchoyo na hapo kapewa Chuma 2 zilizosimama kwenye Birthday yakesema Kondeboy hakufika bei,, ubahili tu
Hamna kitu.Jishangazi bila akili ni upompompo tu.Mkuu, sema tu kuwa umemuelewa sana mama mkwe wake na Marioo.
Hahahaha huyo unatafuna tuNiseme ukweli tu, vijana wa sasa nao hawana heshima kwa mama wakwe zao, mama mkwe ukijipendekeza unatafunwa vema tu sawa na binti yako
Kuna tatizo?Aroo wewe
Tofautisha neno mbunye na mbunye ya Paula na Kajala,, ukifanikiwa kupiga hapo mzee basi hata ukifa hamna shida kabisa na dhambi zako zote zitasamehewa,, tutafute pesa mzee,,Sasa utoe zaidi ya mil 5 kisa mbunye tu
😹😹😹Mambo ya kisasa hayo ,dunia inasonga mbele na kurudi nyuma , kumbuka tulianza na kutembea uchi🤔
Kwa age hii ina maana huyo Kajala kaoa kindaView attachment 3288798
Hongera sana Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. There's a brighter future "behind her"
Duuuh wakwe hawaView attachment 3288798
Hongera sana Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. There's a brighter future "behind her"