Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Putin siku zote huwa halei maradhi na masuala mengine ya hovyo hovyo
Sasa hapo wa hovyo hovyo nani mkuu? Putin aliyeua watu na kudanganya kwamba magaidi wa Chechenia au huyo tycoon? Kumbuka Tycoon aliamua kufanya uchunguzi binafsi wa kujua uhusika wa police kwenye huo uovu, matokeo yake yalionesha ni police/serikali na sio magaidi! Sijui mi ndio nimesoma vibaya?
 
Mchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
 
Urusi bana,kidogo tu FSB wamefika wanaanza kukusumbua uraia Mara oohh ww kwenu wapi na hapa Moscow una shughuli,wakitosheka basi wanaondoka,jirani yako anakwambia "hiyo inatokea kwa baadhi ya watu kama wakikuona au wakikuhisi unachembechembe za ushushushu,inawezekana walikutilia shaka ila pia inaonekana walianza kukufuatilia toka airport kuwa makini ndugu yangu,huwa wanapotea hivi hivi wenzako,man be careful" mwafrika mwenzako (mkongo) anakwambia hivyo...
 
Inasemekana warussi ndo watu wenye pesa mingi sana ila jinsi wanavyoweka mali zao huwezi Jua. Hawa akina Jeff Bezos wakasome..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Najua kama kampuni mbili kubwa Tanzania za usafirishaji mafuta/vituo vya mafuta na hotel moja ya nyota 5 na kampuni mbili za utalii Tanzania zinamilikiwa na wa Russia ila watanzania ndiyo wanaoziendesha
 
Back
Top Bottom