Ila ukifuga nyoka lazima ikung'ate, amekimbia mwenye bila kulazimishwa, bali malengo alishayafikia, amewaachia wengine maumivuMchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Russia ni nchi ya MAFIA watupuIla ukifuga nyoka lazima ikung'ate, amekimbia mwenye bila kulazimishwa, bali malengo alishayafikia, amewaachia wengine maumivu
Umafia wao ulianza kitambo. Tangu enzi za Umoja wa Kisovieti (USSR).Russia ni nchi ya MAFIA watupu
Bush na familia yake pia nia MAFIA wa huko TexasUmafia wao ulianza kitambo. Tangu enzi za Umoja wa Kisovieti (USSR).
Baada ya kuvunjika kwa umoja huo, magenge ya Mafia yakaanza kuukalia uchumi wa Urusi.
Yule ni jasusi la kutupwaMchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii quote huwa inamaana gani !? Kwamba puttin Yuko mbele ya muda au ndio genius sanaWhen the first man discover the phone, He had already two missed call from Putin
Sasa hapo wa hovyo hovyo nani mkuu? Putin aliyeua watu na kudanganya kwamba magaidi wa Chechenia au huyo tycoon? Kumbuka Tycoon aliamua kufanya uchunguzi binafsi wa kujua uhusika wa police kwenye huo uovu, matokeo yake yalionesha ni police/serikali na sio magaidi! Sijui mi ndio nimesoma vibaya?Putin siku zote huwa halei maradhi na masuala mengine ya hovyo hovyo
Kuna uzi wa Roman Abromovick humu mkuu, utakimbia ukiusomaReally?...
Huo uzi umeandikwa na nani?Kuna uzi wa Roman Abromovick humu mkuu, utakimbia ukiusoma
Tafuta historia ya Abramovich iliwekwa huku na The Bold.Really?...
Ni miongoni mwa binadamu wachache wenye akili za ajabu sana.Yule ni jasusi la kutupwa
mhhhInasemekana warussi ndo watu wenye pesa mingi sana ila jinsi wanavyoweka mali zao huwezi Jua. Hawa akina Jeff Bezos wakasome..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
`Sijakariri jina lake but ukiufungua utakutana na historia ya huyu mwamba na jinsi alivyofanikiwa kuwaweka marais kama 2 hivi madarakani including huyu wa sasa hivi. Dunia ina siri nyingi sana, yaani Roman ni kama Rostam Azizi kwa TanzaniaHuo uzi umeandikwa na nani?
Bezos kwa warus ni mbl sna.Kwa akina Elchapo tu hatii mguu.Inasemekana warussi ndo watu wenye pesa mingi sana ila jinsi wanavyoweka mali zao huwezi Jua. Hawa akina Jeff Bezos wakasome..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kumbe Putin naye pia ana wababe wake aiseeMchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Warusi wana pesa chaaaaafuBezos kwa warus ni mbl sna.Kwa akina Elchapo tu hatii mguu.
Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?Mchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Najua kama kampuni mbili kubwa Tanzania za usafirishaji mafuta/vituo vya mafuta na hotel moja ya nyota 5 na kampuni mbili za utalii Tanzania zinamilikiwa na wa Russia ila watanzania ndiyo wanaoziendeshaInasemekana warussi ndo watu wenye pesa mingi sana ila jinsi wanavyoweka mali zao huwezi Jua. Hawa akina Jeff Bezos wakasome..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app