Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

Meneja CoLtd

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
122
Reaction score
143
Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba.

Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles.

Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki midomo wazi kwa jambo alilofanya la kujaza UPEPO KWENYE PUTO KWA KUTUMIA MACHO na kuweka kumbukumbu ya dunia (world record).
Mwaka 2023 Wu Zunyou alipoteza maisha kwa kansa ya ini.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…