Sabra, Rosemary, Lilian & Queen!Guys leo mmenikumbusha mbali , zamani nilikuwa nadhani kiwa ile hali ilikuwa inanitokea Mimi peke yangu kumbe tuko wengi hivi . Lol [emoji4][emoji4][emoji7]
Yeah Yale mapenzi Ni ya kipekee Sana . Hisia zake Ni tamu Sana huwa hazijaingiza udii tena maishanimkuu yale mapenzi ni mapenzi ya kipekee sana, bahati mbaya wengi wa macrush wale huwa ni ngumu kua ano
R.I.P RajabuAlikua anaitwa Rogers, nilimpenda sana lakini sikua ninajua maana ya mapenzi. Nilikutana na dada yake mwaka wa juzi aliniambia Rogers alifariki. RIP ingawa hukufahamu kama nilikupenda.
Same ππMimi wa kwangu nikimuona sasa hivi najiuliza hivi macho yangu yalikuwa na matatzo gani nilikuwa ninaona nini kwake
Kwa kweli my dear .Ila bado nahisi nitaenda kumwona siku moja .Uzuri alikuwa anajua one of his friend aliniambia akiwa mzima aliniulizia ila sasa sidhani kama angeendelea kuwa my crush .Ninachisikitika ni maisha yake ya sasa tu
[emoji16][emoji16][emoji16]wapo wengi kwa kweli , Awali nilianzaga kujikuta nampenda mtoto wa Mwalimu wetu hisia za mapenzi zilikuwa nikitu kipya Kwangu so nikawa nashangaa hiki Ni kitu gani Daahh!!! Nilimpenda yule binti licha ya kunipita madarasa mawili , Alipomaliza shule Ni kabaki mpweke..Mungu si-athumani Wala mzee Juma makomeo Hamadi macho yangu yakaja kumuona binti 1 hivi matata sana Aisee nilijikuta nampenda Sana yule binti , naamini katika maisha yangu sijawahi kupenda tena kwa kiwango kile ..Sasa sijui tuwataje wangapi...maana kuna wale wadada wakuu walikuwa wanakuwa visu hatari!
Dah aisee nimekumbuka mbali mno hakika yale yalikuwa mapenzi ya dhati,
Unampenda mtu bila hata makeup wala mawigi kanyoa kipara,
Tulikuwa pamoja since form 2 mpaka elimu ya Advance mwanzoni pale tukapotezana bila hata kutamkiana mabaya, Aisee yule mrembo baada ya miaka mingi kupita juzi nilikutana nae, tena nakaa nae mtaa mmoja,
Siku naenda zangu sokoni kununua vitu vya kupika hamadi uso kwa uso na mrembo moyo wangu ulishtuka sana nilitamani kumkumbatia kwa furaha niliyokuwa nayo ila nilishindwa,
Hapa naona kabisa kuna nguvu inataka kuturudisha japo kimawazo na kimatendo tutakuwa tumebadilika tofauti na zamani,
Nahofia labda mwenzangu atakuwa amebadilika nabaki kujituliza tu
Mariamu la kwanza na la pili B akahama shule, Hadija la tatu mpaka la Saba B, akafata Judith,Kisha Zuhra advance. Chuo Rose! Sasa hivi naishi na niliyempa mimba!
Dunia haiko fair!
Nakumbuka darasa la kwanza alinitamkia mbele ya darasa "nakupenda" mm nae badala nifrahii nikaona ananiabisha nikawa nampiga ila hakomi 2017 nilikutan nae anajitambulisha muda huo ata simkumbuki
[emoji16][emoji16][emoji16] by the way Umalaya umeanza kitambo [emoji16][emoji16] Mimi Sasa katika makuzi yangu nakumbuka nilikuwa napendwa Sana. Na mabinti vibaya mnooo Ajabu nikwamba nilikuwaga boya eti wengine nawakataa tena ile live live kabisa , Nikiwa Darasa la 7 tu niliwahi sababisha mabinti wa 2 kugombana halafu kati Yao Sasa sikuwa kumkula hata 1 ,,Sabra, Rosemary, Lilian & Queen!
My youngster crushes! Was sure about Lilian, Rosemary & Queen ila domo langu lilikuwa zito kama tenga la nazi [emoji75][emoji75][emoji75]
[emoji16][emoji16][emoji16] by the way Umalaya umeanza kitambo [emoji16][emoji16] Mimi Sasa katika makuzi yangu nakumbuka nilikuwa napendwa Sana. Na mabinti vibaya mnooo Ajabu nikwamba nilikuwaga boya eti wengine nawakataa tena ile live live kabisa , Nikiwa Darasa la 7 tu niliwahi sababisha mabinti wa 2 kugombana halafu kati Yao Sasa sikuwa kumkula hata 1 ,,
Kuna 1 nakumbuka kipindi hicho tupo Darasa la 6 Basi Aliwahi kuwa tuma rafiki zake wawili wanifuate halafu wanieleze kuwa ananipenda Sana , [emoji16] Basi nikawajibu mwambieni simpendi Nina mp enzi wangu (Aisee nilikuwa boya Sana [emoji16])
Mimi wa kwangu nikimuona sasa hivi najiuliza hivi macho yangu yalikuwa na matatzo gani nilikuwa ninaona nini kwake
Kwa kweli madame kasie ule Ndio utoto [emoji16]Ndo utoto wenyewe huo ....
Mimi wa kwangu nikimuona sasa hivi najiuliza hivi macho yangu yalikuwa na matatzo gani nilikuwa ninaona nini kwake
we mpende uone kama hutompenda!Secondary's Crush Sophia Mungu anakuona.
Alijua kabisa mimi ni domo zege ila akawa anajifanya haoni richa ya kumwandikia sana noticies za Biology na michoro kama yote. Nimeandika sana vinemo katikati ya daftari lake la Bios ila anauchuna tu. Nilimpenda sana nikapenda mwandiko wake nikapenda hadi mtaa aliokua anaishi. Kuna wakati nilikua Natamani sana niisukune nyumba yetu hadi mtaani kwao niwe namuona....Nilimchukia baba kwakutokununua kiwanja mtaani kwa Sofia
2019 alinitafuta baada ya miaka mingi kupotezana ila sikua nampenda hata robo... Siwezi kumpenda tena mtu ambae simpendi.
Love is fate and rare not everyone can have it[emoji22]
Hivi wanaume nao wanabakwa?[emoji848]Kashoelewa Zambia, nisingeweza kumpenda tena hata iweje. Nikisema Nakupenda basi hua imetoka ndani kabisa ya roho yangu na nikishakutoa basi siwezi kukurudisha tena. I don't love someone for the sake of Sex. Alivyonitafuta lengo lake lilikua hilo, Siwezi make love na mtu nisiyempenda hata iweje. Labda unibake..