Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Kashoelewa Zambia, nisingeweza kumpenda tena hata iweje. Nikisema Nakupenda basi hua imetoka ndani kabisa ya roho yangu na nikishakutoa basi siwezi kukurudisha tena. I don't love someone for the sake of Sex. Alivyonitafuta lengo lake lilikua hilo, Siwezi make love na mtu nisiyempenda hata iweje. Labda unibake..

Naamini bado nipo moyoni mwako[emoji12]
 
Darasa la nne 1991,aliitwa SITU.
Nilikuwa nikimuona nastuka na mapigo ya moyo kwenda mbio.
Akiniongelesha nakosa cha kujibu na kwa muda sauti inakuwa na kitetemeshi.
Nililala nikimuota na nilishinda nikimuwaza.
Starehe yangu ilikuwa ni kumuona,kumuona tu basi.
Sikuwa na ujasiri wa kumwambia mpaka tunamaliza shule ya msingi.
Nilikuja kumwambia baadae sana nikiwa tayari nimeshachelewa...
 
Guys leo mmenikumbusha mbali , zamani nilikuwa nadhani kiwa ile hali ilikuwa inanitokea Mimi peke yangu kumbe tuko wengi hivi . Lol [emoji4][emoji4][emoji7]
Hahahaa mzeee ulikuwa unawazimikia watoto wa lasita b
 
Catherine where are you my love. Siku hizi nimekuwa mtu wa mitungi tuu[emoji24]. Since tulivyotengana darasa la sita sajawahi penda kama nilivyokupenda wewe malikia wangu. Plz niambie ulipo my love nije walau nikuone tu roho yangu itaridhika.

It's me ur crush,
Kipepeo,
Kiwalani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya hima ukamsalimie atafarijika sana, umsalimie kwa bashasha na hug kubwa ahisi kupona Nitafan

Fanya hima ukamsalimie atafarijika sana, umsalimie kwa bashasha na hug kubwa ahisi kupona bibie
Nitafanya aisee,kwenye grp walishakwenda na tulimchangia .Ngoja nitafute muda niende kumsalimia
 
Dah!
Debora ulinitesa sana
Kwa sasa ananipigia sana simu nimtumie nauli aje walau kuniona Dar maana ni siku nyingi kaachana na mme wake na mm sina time tena
 
[emoji23][emoji23] hili neno la wacha we alikua anapenda sana kulitumia bby angu yani kipindi namueleza ya moyoni navyompenda yeye anasema wacha we...usinambie!! aisee.
Haaaaaa[emoji23][emoji23]
 
Darasa la sita... shule x 04'...sandra mtoto wa kishua. mtoto mweupe alikuwa anakaa forest mji kasoro bahari Nilishindwa kumwambia. Tukitoka shule nilikuwa natembea hadi kwao kisha naanza kurudi kwetu.

Nikaja kumuona high school tanga. Walikuwa shule kwenye graduu akiwa social prefect. Mwanzoni wa 2010

The feeling wasnt there baada yakuwazoea hawa wakina chausiku. Na mwajuma
 
Miaka karb 20 iliyopita,mdada wa watu alinifata akanitamkia zaidi ya mara 2 tukiwa form 1. Ila sikua na mapenzi nae, so nikampotezea. Miaka 13 mbele nakutana nae mlimani city kawa mrembo balaa. Tuliongea machache, kifupi kila mtu alikua na mtu wake.
 
Back
Top Bottom