Uchaguzi 2020 Unamkumbuka Kasusura? Kaka yake atia nia Biharamulo

Huyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.

Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.

Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!

Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?

Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
 
Aho tiyabeihya; kwasababu wengi wanaoishi maeneo hayo jina maarufu waganda Kyaka
Ni wa Tanzania wenye asili ya Uganda na Wahaya mlivyo wabinafsi Mkasa hawezi kuleta maendeleo Biharamulo.
Kwa hiyo unataka kusema atapeleka maendeleo kwao
 
Nadhani ameomba kustafu kwa hiari. Kuolewa sio lazima ni takwa la mtu
Huyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.

Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.

Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!

Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?

Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
 
Lusahunga huku wapo waha na washubi
Usisahau warundi, wanyarwanda wanaofuga ng'ombe, wasukuma kuna barabara ya kupitia nyakahula kwenda Mlusagamba katika kuna pacha ya kwenda Rulenge kuna misitu imevamiwa na wasukuma kuna vijiji kama saba yaani utadhani upo usukumani.
Serikali ijitahidi kuwapeleka mashule maana wapo maelfu na hakuna huduma za kibinadamu maana kwenda mpaka keza ni mwendo mrefu mno
 
Kabisa Biharamulo na ngara ndio wilaya masikini katika mkoa wa Kagera
Ila Biharamulo imezidi ukifika nyakahula na Lusahunga kuna umasikini waliotopea
Na ndo wilaya zinazoufanya mkoa wa kagera uonekane uko nyuma kimaendeleo.

Wakati wilaya nyingine kama muleba, bukoba,misenyi na karagwe zikiwa katika Hali nzr ukilinganisha na wilaya nyingine za tz hata jafo anajua hilo
 
Huyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.

Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.

Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!

Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?

Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
Hili kabila wapo nyuma kimaendeleo na wamemezwa na Wahaya acha wajikwamue bila hivyo hawataendelea
 
Polisi wa Tanzania ni CCM
RPC Shana anadhihirisha hilo
 
Usisahau warundi, wanyarwanda wanaofuga ng'ombe, wasukuma kuna barabara ya kupitia nyakahula kwenda Mlusagamba katika kuna pacha ya kwenda Rulenge kuna misitu imevamiwa na wasukuma kuna vijiji kama saba yaani utadhani upo usukumani.
Serikali ijitahidi kuwapeleka mashule maana wapo maelfu na hakuna huduma za kibinadamu maana kwenda mpaka keza ni mwendo mrefu mno
Wasukuma wapo kila pembe ya nchi hii na hawa wafugaji huishi kwa kuhamahama
 
Biharamulo ni wilaya ya pili kutoka mwisho (second ftom last ) kiuchumi Tanzania ya mwisho kabisa ni kakonko
Hili kabila wapo nyuma kimaendeleo na wamemezwa na Wahaya acha wajikwamue bila hivyo hawataendelea
 
Sasa kama hao kina kasusura wana tabia za wizi ipo siku huyo mbunge mtarajiwa atakuja kuuza ofisi za chama chenu na kukimbia,tabia huwa inarithiwa.
 
Na ndo wilaya zinazoufanya mkoa wa kagera uonekane uko nyuma kimaendeleo.

Wakati wilaya nyingine kama muleba, bukoba,misenyi na karagwe zikiwa katika Hali nzr ukilinganisha na wilaya nyingine za tz hata jafo anajua hilo
Ni kweli kabisa
Ngara na Biharamulo zingekuwa na unafuu mkoa wa Kagera ingekuwa ulaya ya Afrika
 
Wasukuma wapo kila pembe ya nchi hii na hawa wafugaji huishi kwa kuhamahama
Kwasasa wameweka makazi ya kudumu na wanauwezo wa kiuchumi tatizo wamekosa akili kwa ng'ombe walionao wangeweza kujenga mashule na mazahanati wakapata huduma karibu
 
Hii familia nawafahamu afadhali wao wataleta maendeleo kuliko Wahaya
Wahaya ni wabinafsi mno
(Ingawa hii familia nao wanadhani Biharamulo ni mali yao)
Kasusura james hajulikani kabisa hata ndugu yake Justin anajulikana kwa wizi wa pesa kijiji wanachotoka cha nyarubungo ndio kijiji maskini sana
 
Chief tuache uvyama katika hii thread kwasababu inagusa maisha ya wana Biharamulo wanaohitaji mkombozi wa kweli.
Lakini ukweli ni Polisi ni sehemu ya CCM hata mjinga anajua hilo.
Labda hujui kuwa sisi tuna jeshu la polisi
 
Back
Top Bottom