Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Kwa hiyo unataka kusema atapeleka maendeleo kwaoAho tiyabeihya; kwasababu wengi wanaoishi maeneo hayo jina maarufu waganda Kyaka
Ni wa Tanzania wenye asili ya Uganda na Wahaya mlivyo wabinafsi Mkasa hawezi kuleta maendeleo Biharamulo.
Huyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.
Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.
Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!
Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?
Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
Usisahau warundi, wanyarwanda wanaofuga ng'ombe, wasukuma kuna barabara ya kupitia nyakahula kwenda Mlusagamba katika kuna pacha ya kwenda Rulenge kuna misitu imevamiwa na wasukuma kuna vijiji kama saba yaani utadhani upo usukumani.Lusahunga huku wapo waha na washubi
Na ndo wilaya zinazoufanya mkoa wa kagera uonekane uko nyuma kimaendeleo.Kabisa Biharamulo na ngara ndio wilaya masikini katika mkoa wa Kagera
Ila Biharamulo imezidi ukifika nyakahula na Lusahunga kuna umasikini waliotopea
Hili kabila wapo nyuma kimaendeleo na wamemezwa na Wahaya acha wajikwamue bila hivyo hawataendeleaHuyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.
Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.
Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!
Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?
Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
Polisi wa Tanzania ni CCMHuyu polisi alistaafu lini utumishi wa polosi? Waliozuiwa na katiba kuwa wanasiasa ni pamoja na polisi.
Nakutakia ubunge mwema, na ile nyumba yenu uikarabati boss.
Nusu ya wakazi Wa biharamulo mjini ni wanajeshi!
Wasubi mnapenda sana ukabila, kwa nini hadi uandike kabila?
Hili kabila waolewe na wasukuma ili miaka 50 mbele litoweke
Okay, nimesoma na binti alikuwa na surname ya Mukasa shule ya msingi Kitela Chato nidhani atakuwa wa ukoo huuKwao ni Kyaka Missenyi,wengine usema ni waganda kabisa sema pale kyaka kuna kabila linaitwa waganda kyaka
Wasukuma wapo kila pembe ya nchi hii na hawa wafugaji huishi kwa kuhamahamaUsisahau warundi, wanyarwanda wanaofuga ng'ombe, wasukuma kuna barabara ya kupitia nyakahula kwenda Mlusagamba katika kuna pacha ya kwenda Rulenge kuna misitu imevamiwa na wasukuma kuna vijiji kama saba yaani utadhani upo usukumani.
Serikali ijitahidi kuwapeleka mashule maana wapo maelfu na hakuna huduma za kibinadamu maana kwenda mpaka keza ni mwendo mrefu mno
Hii familia nawafahamu afadhali wao wataleta maendeleo kuliko WahayaKwa hiyo unataka kusema atapeleka maendeleo kwao
Ni kweli kabisaNa ndo wilaya zinazoufanya mkoa wa kagera uonekane uko nyuma kimaendeleo.
Wakati wilaya nyingine kama muleba, bukoba,misenyi na karagwe zikiwa katika Hali nzr ukilinganisha na wilaya nyingine za tz hata jafo anajua hilo
Kwasasa wameweka makazi ya kudumu na wanauwezo wa kiuchumi tatizo wamekosa akili kwa ng'ombe walionao wangeweza kujenga mashule na mazahanati wakapata huduma karibuWasukuma wapo kila pembe ya nchi hii na hawa wafugaji huishi kwa kuhamahama
Chief tuache uvyama katika hii thread kwasababu inagusa maisha ya wana Biharamulo wanaohitaji mkombozi wa kweli.Huu uogo sasa
Ubarikiwe sana.Nasikia ni wewe
Kasusura james hajulikani kabisa hata ndugu yake Justin anajulikana kwa wizi wa pesa kijiji wanachotoka cha nyarubungo ndio kijiji maskini sanaHii familia nawafahamu afadhali wao wataleta maendeleo kuliko Wahaya
Wahaya ni wabinafsi mno
(Ingawa hii familia nao wanadhani Biharamulo ni mali yao)