Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Naitwa afugwegwe ila Ofisini wananiita Godfrey nadhani nina quality kama zake ...MchuchuWa kuitwa Godfrey, yule kaka alinipenda sana nikiri hadi ukubwani hakuna mwanaume alieonesha upendo kwangu kama yeye shida mimi sikumpenda kihivyo sijuagi ni utoto ama nini. Alikua ananisaidia sana kwenye kusoma mana kichwani alikua njema , namkumbuka sana kwa upendo wake na namna alivyokua ananijali.