Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Dah huu uzi umeniflash back miaka ya 2011 wakat nipo secondar tulipendana na bint yule haikuwa siri tena kila mtu alikuwa anajua she alikuwa cute kila mtu alikuwa anatuonea donge ile couple shule nzima tulikuwa role mode yetu kweli nimeamini kila moment unayoipata kwenye maisha ifurahie yaani mpaka leo nikiwasiliana na schoolmate wenzangu bado wananiuliza about her wanaamini bado tuko together now she ana maisha yake and me nina maisha yangu ila hatuachi kuwaciliana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Advance hapo .. kwenye foleni ya msosi mistari miwili wakike na kiume ikielekea dirishani kwenye msosi huku tukishika sahani na bakuli zetu ilikuwa zamu yetu form5 aka form one wa kiangazi .

kuelekea dirishani pembeni yangu kwenye mstari namuona mtoto na Dimpoz zake anaongea na wa mbele yake kwenye line akitabasamu

So you see that's where the trouble began

That's smile ..that damned smile

Mpaka nikapigwa kibao cha kisogo nisogee kwenye foleni ya msosi na wa nyuma yangu " oyaaa vipi babu "maana nilisimama namcheki mtoto mpaka akagundua akacheka zikiambatana na sauti za kibao cha kisogo na sauti ya mpishi wetu mzee wa makamo "wewe mpumbavu sogea"

Niko kwenye mti nakula nawachorea wana ramani black beuty flani hivi ana Dimpoz macho flani hivi ya uchokozi " oyaa kunguru we unamsemea Dainess akanijibu mwanangu mmoja hivi yeye anajua ratiba za misosi,mademu ,na michezo ila ratiba za vipindi hajui ..
"Yuko pcm huyo ndio yule anaetukimbiza chem na phy..hao ndio wamekuja shule sio wewe karungeyeye"

Niseme tu she want me dead... she want me alive [emoji16] she is crazy, nasty, brilliant mtoto anajua O.J Smith conspiracy theories,sjui brexit exit , normal girlfriend wanasoma novel yeye anasoma schimidit sting pain index na ana appl ya betpawa kwenye simu yake .
Tunaacha tunarudiana...tunaachana.. tunarudiana and cycle continue [emoji16]. Maana tunapeana dating advice saa nyingine [emoji16]
 
Advance hapo .. kwenye foleni ya msosi mistari miwili wakike na kiume ikielekea dirishani kwenye msosi huku tukishika sahani na bakuli zetu ilikuwa zamu yetu form5 aka form one wa kiangazi .

kuelekea dirishani pembeni yangu kwenye mstari namuona mtoto na Dimpoz zake anaongea na wa mbele yake kwenye line akitabasamu

So you see that's where the trouble began

That's smile ..that damned smile

Mpaka nikapigwa kibao cha kisogo nisogee kwenye foleni ya msosi na wa nyuma yangu " oyaaa vipi babu "maana nilisimama namcheki mtoto mpaka akagundua akacheka zikiambatana na sauti za kibao cha kisogo na sauti ya mpishi wetu mzee wa makamo "wewe mpumbavu sogea"

Niko kwenye mti nakula nawachorea wana ramani black beuty flani hivi ana Dimpoz macho flani hivi ya uchokozi " oyaa kunguru we unamsemea Dainess akanijibu mwanangu mmoja hivi yeye anajua ratiba za misosi,mademu ,na michezo ila ratiba za vipindi hajui ..
"Yuko pcm huyo ndio yule anaetukimbiza chem na phy..hao ndio wamekuja shule sio wewe karungeyeye"

Niseme tu she want me dead... she want me alive [emoji16] she is crazy, nasty, brilliant mtoto anajua O.J Smith conspiracy theories,sjui brexit exit , normal girlfriend wanasoma novel yeye anasoma schimidit sting pain index na ana appl ya betpawa kwenye simu yake .
Tunaacha tunarudiana...tunaachana.. tunarudiana and cycle continue [emoji16]. Maana tunapeana dating advice inshort tumekusamehe vichaa sometimes tunawasemea tunao date nao [emoji16]
Aisee [emoji39][emoji39] Japo sijaelewa
 
Nilimpenda akila darasa la 7 mimi form one but asili ya kijiji kimoja wote, tukakubaliana tutaoana. Nilikuwa nataka penzi, yeye anasema hadi amalize shule nimsubirie, nikawa nakula kwa macho boya kimi na barua za mapenzi motomoto tunatumiana. Alipofika form 3 mi form 4 akawa hajibu barua baada ya kupata likizo ya Daslam. Ebhana nikaja kuonana naye ana matiti makubwa kwelikweli na matako yamekuwa zaidi kuliko mwaka uliopita.

Nikajiongeza maana niliambia wakitiwa matiti yanaongezeka.. nikapiga chini.. nasikitika sahz anatamani tuwe pamoja but nishaoa na nina mpenda mke wangu.. sema kuna siku nilipiga game kwa hasira kulipiza kisasi, sitaki kuendelea!! [emoji31]
 
dah nakumbuka mtt mmoja anitwa S aloo nilimpenda alikua mpoleeee nakumbuka nilibembeleza sana kupata mbususu ila alikuja kunipa siku nisiotarajia tukiwa kwenye safari ya shule tulitembelea mbuga na water falls akaniita chobis tukapotea kwa muda akanipa utamu ila nilipata tabu kwakua alikua bikra na nilikua nataka nifanye fasta kabla wenzangu hawajafika mbali. namkumbuka kwakua nilitoa bikra alf sehem nisiotarajia na ameshafariki ila namkumbuka sana mtoto S
 
Rebecca alinipenda sana ila mimi niliendekeza ukax nilikua mgumu ugumuni yaan suala la kubembelezana na demu nilikua naona kama ni udhaifu kutokana na shinikizo la machalii zangu walikua wananionea wivu wakawa wananiambia hawaongei na mtu mwenye demu eti nimevunja miiko ya wagumu tunadumu na mimi nikawa nampotezea demu Ila siku hizi namkumbuka sana japo kumpata siwez tena
 
Back
Top Bottom