Unamkumbuka Mussa Simba aka Black Moses: Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo

Write your reply...sikuhizi nani aende disco wakati kila mtu ana subwoover ndani?kila zama na mambo yake.lakini maisha enzi hizo yzalikua tambalale
 
Ahahaaaaaaaaa kukata break dance ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishacheki sana show zake kwa macheni

Sent using Jamii Forums mobile app
tunawacheki akina black moses huku tunaokota makopo ya stella artois
watu wanadhani waokota makopo wameanza leo😀😀😀
nimeumiss utoto
diga diga nilikuwa namkubali sana
black moses kwa pops za michael jackson alikuwa anatisha(enzi hizo tunayaita mabreka)
 
Kwa ufahamu wangu Black Moses kifo chake kilisababishwa na ugonjwa wa kipindupindu sio kama tunavyofahamishwa kwamba alijiua
yeah,hili ndiyo mimi nalifahamu,ilikua mwishoni miaka ya 90 au mwanzoni 2000,nilimuona siku chache kabla ya kifo chake
 
Mpinzani mkubwa wa Black mosea alikuwa ni bosco l coo j walikuwa wakikutana moto ulikuwa unawaka, enzi hizo kuna jamaa aliitwa maganga au michael jackson

Sent using Jamii Forums mobile app
Bosco cool J ni marehemu sasa hivi amefariki mwaka huu

Nakumbuka enzi hizo miaka ya 90 alishinda akapewa kipikipiki flani scooter ya blue hivi keko machungwa pakawa na shangwe balaaa
 
Pia walikuwepo wakina super ngedere kutoka moro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…