mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
We unamfahamu nani aliyekuwa mkali wa kuyarudi mangoma miaka hiyo?
HAKUNA, wote walikuwa ma alosto tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unamfahamu nani aliyekuwa mkali wa kuyarudi mangoma miaka hiyo?
Hakuwa mchezaji kivile ila ujinga tu wa wabongo walidhani jamaa anajua kucheza kumbe sivyo. Nilimshuhudia michezo yake na nikawa nawashangaa abongo wanampigia debe kwa misingi gani maana jamaa hakuwa anajuwa kucheza kivile, alikuwa wa kawaida sana.
kwa maelezo yako haya nimebaini enzi za utoto/ujana wako ulikuwa unasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia. kama sio depression basi itakuwa social anxiety.HAKUNA, wote walikuwa ma alosto tu.
umesahau na lile jumba tulikuwa tunaangalia film bila kusikia sauti ni mpaka uwe na gari enzi hizo PEUGEOT RENAUT LANDROVER 109 jumba linaitwa DRIVE INNEnzi hizo kulikuwa na kumbi maarufu kama langata- kinondoni, DDC- kariakoo.
Tukiwa na nyege tunatembelea maeneo ya Magot, tuna kata kiu zetu.
Kulikuwa na kipindi cha mama na mwana - RTD kila jumamosi tulisikiliza.
Majumba ya sinema kama Avalon, Empress, New chox, Drive inn yalibamba sana.
Good old days,
Mkuu alikua anakaa rufiji streetEnzi hizo alikuwepo Dada mmoja akiitwa Fatuma Zahoro au (DiscoDancer) R.I.P...huyu alijiua kwa kunywa vidonge vingi vya Cloroquine kisa kazuiwa kwenda kwenye Disco na wazazi wake..
Yote kwa yote Mussa Simba (R.I.P.) siku za mwisho za uhai wake alikuwa teja tena pwaku pwaku hatari..
Ndugu zake walikuwa wakimfungia ndani kwao Mwanza mitaa ya Rufiji..
Sina hakika kama alijiua lakini tatizo kubwa lilikuwa ni uteja..alikuwa amesha hathirika vibaya sana kwa madawa.
kwa maelezo yako haya nimebaini enzi za utoto/ujana wako ulikuwa unasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia. kama sio depression basi itakuwa social anxiety.
wataalam wa masuala ya afya ya binadamu watakufafanulia. watafute wakusaidie.
kuna kitu hawa akina "black moses" walikufanyia enzi za ujana wako, sio bure. ila huwezi kukisema kwa kuogopa aibu.
Alipewa nafasi ya kwenda kusoma na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Jenerali Ulimwengu akakataa,kilimuondoa kipindupinduAnaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye ramani jamaa alikuwa Hana mpinzani
Jamaa baada ya kuwa maarufu kupitiliza aliamua kujiingiza kwenye madawa ya kulevya miaka hiyo na baada ya madawa kumtawala sana ulitokea ugomvi Kati yake na baba yake mzazi mzee SIMBA nyumbani kwao magomeni mapipa na MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES aliamua kujiua
R. I. P KING BLACK MOSES View attachment 851604
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu Kim ndio alishafariki....Enzi hizo disco lilikuwa juu sana,hivi Abrahamu Magomelo yupo hai?..
Anafanana na Diga DigaAnaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye ramani jamaa alikuwa Hana mpinzani
Jamaa baada ya kuwa maarufu kupitiliza aliamua kujiingiza kwenye madawa ya kulevya miaka hiyo na baada ya madawa kumtawala sana ulitokea ugomvi Kati yake na baba yake mzazi mzee SIMBA nyumbani kwao magomeni mapipa na MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES aliamua kujiua
R. I. P KING BLACK MOSES View attachment 851604
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww kweli una stresa. Unapayuka payuka sana.Yaani umedoda mpaka na akili, khaaa!
Shikamoo kiranga!BlackMoses na Athumani Digadiga na kina Bosco CoolJ walitikisa jiji enzi zao.
Shikamoo shangazi..!Digadiga aliitwa Double D
Long time enzi za Mbowe Hotels kabla ya Bilicanas
Hao watoto wa juzi juzi tuVipi kuhusu Zay B na Sister P?