Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Alaa kuumbee😳😳Mimi si daktari mkuu mimi kidampa tu
Nimeambulia kitu hapa😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa kuumbee😳😳Mimi si daktari mkuu mimi kidampa tu
usinikumbushe mkuu dah!! mambo za bugynightLong time enzi za Mbowe Hotels kabla ya Bilicanas
Enzi za Yeke Yeke, Roses are Red Violets are Blueusinikumbushe mkuu dah!! mambo za bugynight
namkumbuka colnel abraham na kitu chake get los
Long time enzi za Mbowe Hotels kabla ya Bilicanas
Anzia 1983 - 90,95.miaka ipi hiyo Mkuu?
Hahahaha
Sijui hata mmoja yahao ulowataja sababu pengine nilkua sijafika mjini bado. Ila inaonekana unabusara sana mkuuAhsante sana kwa mkuu kwa kutukumbusha wakati nchi ina adabu na heshima,vipaji hivi vya vijana hawa as a country we let them down,kulikuwa hakuna mfumo wa kuwaendeleza na kilichotokea watu wajanja wakawa wana make money out of them ,shame on them na mbaya zaidi mwisho wao wengi haukuwa mzuri,Black Moses (commit suicide)why hakuna aliyejishughulisha,hapo juu mkuu Fulani kutuambia Super Ngedere kawa mtu wa kuomba omba,na mbaya zaidi Bosco Cool JJ alifariki kifo cha mateso sana pale cape town(SA)na kama walivyo mabolozi wetu nje hawana mpango kabisa kinachotokea kwa raia wetu kwenye nchi wanazotuwakilisha na kesi yake imekuwa ni cold case;but anyway nimeishi maisha safi safi ndani ya nchi yangu kipindi hicho ila yanayotokea kwa sasa tuombeane heri tu.
Enzi za kuruka majokaEnzi za Yeke Yeke, Roses are Red Violets are Blue
Pls tunasubiri videoMe niliona show zao mwaka 2016 Hapo mzalendo, aliwaleta Dj Jd, alikuwa huyo Ngedele na jamaa mwingine bonge hivi, ngoja nitafute video zao nilichukua
Unamkumbuka DJ Rujual alikuwa Tanga na mwenzie Mansuet Mkonge hotel snack barEnzi za Yeke Yeke, Roses are Red Violets are Blue
Kokoliko ilikuwa ni miziki ya Congo hapa na makwanjaUzi mzima bado sijaona aliyemkumbuka kokoliko na Maxi priest, ukumbi wao nadhani ilikuwa igongwe au third world nishazeeka niwekeni sawa juu ya wacheza kwasakwasa hawa na kanda bongoman wa bongo.
Mansuet ninamkumbuka kakaUnamkumbuka DJ Rujual alikuwa Tanga na mwenzie Mansuet Mkonge hotel snack bar
Anaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye ramani jamaa alikuwa Hana mpinzani
Jamaa baada ya kuwa maarufu kupitiliza aliamua kujiingiza kwenye madawa ya kulevya miaka hiyo na baada ya madawa kumtawala sana ulitokea ugomvi Kati yake na baba yake mzazi mzee SIMBA nyumbani kwao magomeni mapipa na MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES aliamua kujiua
R. I. P KING BLACK MOSES View attachment 851604
Sent using Jamii Forums mobile app
We unamfahamu nani aliyekuwa mkali wa kuyarudi mangoma miaka hiyo?Hakuwa mchezaji kivile ila ujinga tu wa wabongo walidhani jamaa anajua kucheza kumbe sivyo. Nilimshuhudia michezo yake na nikawa nawashangaa abongo wanampigia debe kwa misingi gani maana jamaa hakuwa anajuwa kucheza kivile, alikuwa wa kawaida sana.