Unamkumbuka Mussa Simba aka Black Moses: Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo

Hakuwa mchezaji kivile ila ujinga tu wa wabongo walidhani jamaa anajua kucheza kumbe sivyo. Nilimshuhudia michezo yake na nikawa nawashangaa abongo wanampigia debe kwa misingi gani maana jamaa hakuwa anajuwa kucheza kivile, alikuwa wa kawaida sana.
HAKUNA, wote walikuwa ma alosto tu.
kwa maelezo yako haya nimebaini enzi za utoto/ujana wako ulikuwa unasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia. kama sio depression basi itakuwa social anxiety.

wataalam wa masuala ya afya ya binadamu watakufafanulia. watafute wakusaidie.

kuna kitu hawa akina "black moses" walikufanyia enzi za ujana wako, sio bure. ila huwezi kukisema kwa kuogopa aibu.
 
umesahau na lile jumba tulikuwa tunaangalia film bila kusikia sauti ni mpaka uwe na gari enzi hizo PEUGEOT RENAUT LANDROVER 109 jumba linaitwa DRIVE INN
 
Mkuu alikua anakaa rufiji street
 
Super Deo wa ndanda,,[emoji23] [emoji23]
 


Yaani umedoda mpaka na akili, khaaa!
 
Alipewa nafasi ya kwenda kusoma na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Jenerali Ulimwengu akakataa,kilimuondoa kipindupindu
 
Arusha tulikuwa tunawakilishwa na MC Bugaloo kwenye mashindano ya taifa ya disco...
 
....Enzi hizo disco lilikuwa juu sana,hivi Abrahamu Magomelo yupo hai?..
 
Anafanana na Diga Diga
 
Nafahamu Kim ndio alishafariki
Kim ndo mtu aliyekuwa anamiliki lebo inaitwa KIM & THE BOYZ... jamaa alishika sana enzi hizo kwa hawa wacheza disco alikuwa kama ruge na bongofleva sasa hiv... R. I. P Kim aka Kim & the boyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…