luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Bahati nzuri Au mbaya sikusoma awali niliandikishwa la kwanza mojakwamoja ndani ya miez 3 najua kusoma na kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidudu miaka hiyo ya 80's nilisoma shule ya awali inaitwa Morden Nursery School. Ilikuwa samora kwenye moja magorofa ya msajili mkabala na JM mall ya sasa.
Kulikuwa na mama mmoja muhindi Goa anaitwa Maria Gonzalves. Mungu amrehemu yule bibi alikuwa na upendo wa kipekee.
Primary kuna puuzi moja lilikuwa linaitwa Mkude, alikuwa Olympio ambayo sasa imegawanywa na kuwepo Diamond hapo hapo. Lile kuda lilinipiga fimbo moja ya mgongo mpaka leo nina alama.
Chiku Mzee marehemu sasa. Ila alikuwa pisi kali yule mama na afro lake la curly😆😆hahahaa,sema Sir.Mkude.huyu jamaa kataabisha sana watoto watundu.
Siku zote namkumbuka Mama Chiku Mzee na ule mwendo wake wa madaha
Bila shaka wewe titirika tu., mfano mie nilianzia kusoma vidudu Nguruka kigoma kitambo sana 80"s then shule ya msingi DSM Oysterbay.Tulioanzia Bush School tunaruhusiwa hapa
Chiku Mzee marehemu sasa. Ila alikuwa pisi kali yule mama na afro lake la curly[emoji38][emoji38]
Ambao hatukupitia awali tunakomenti wapi?Mimi namkumbuka Mwl. Minja.
Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini!
Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma kushuka chini hivyo muda wowote nalimwaga kojo.
Hakunisema wala kunipiga, ila alifungua zipu yangu na kuishusha chini kisha akakishika kibamia changu akakielekezea kwenye shimo moja ndani ya Darasa la kwanza pale Makurumla Primary School mwaka 1995, sitamsahau kwa hilo.
Popote ulipo mama Mungu akubariki.
View attachment 2574955View attachment 2574956
Hahahaha kadhulumiwa madaraja ndo kwanza anaitafuta TGTS C1 mpwayungu villageNilifundishwa na mpwayungu village
Komenti popote mkuuAmbao hatukupitia awali tunakomenti wapi?
Anyway ahsante sana mwalimu wangu wa darasa la KWANZA late 1960's.
Ulikuwa mwalimu,mlezi na baba pia. RlP!
Wa shule Gani na mwaka Gani mkuu!!?Mwalimu Mganga na Dachi.
Hongera mkuuStd 1 Mwl. Lunyirija, Upanga Primary School.
She is the best😍
Chekechea simkumbuki hata mwalim mmoja ila nakumbuka shule ilikua pale Vijana opp na Mango garden miaka ya 90's.
Mwl Chiku Mzee alihamia Kisutu pia, alikua mpole hana shida na mtu.hahahaa,sema Sir.Mkude.huyu jamaa kataabisha sana watoto watundu.
Siku zote namkumbuka Mama Chiku Mzee na ule mwendo wake wa madaha
AhahahahahHahahaha kadhulumiwa madarasa ndo kwanza anaitafuta TGTS C1 mpwayungu village
Asante.Hongera mkuu
Miye nataka nikamtafute huyo mwalimu nimpe hata ya soda
Amen🙏May Her Soul Rest Easy.ile curly ilikuwa sio ya dunia hii,always shining