Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #141
Watoto wake waiipata hiyo zawadi itakuwa poa sanaNdugu yangu ningemtafuta sema Alisha tangulia mbele za haki
Miye nataka nimtafute mwalimu wa Civics form two pale Lake Secondary School Mwanza mwalimu Maduhu
Japo Kuna tetesi kuwa kafariki ila nitamwaga kreti ya bia kwenye kabuli lake
Maana alikuwa muda wote yupo njwiiiiiii
Hela itaayobaki nitawapa watoto au ndugu zake