Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Sikusoma chekechea Wala sikufundishwa nyumbani,Ila kufika la tatu hakuna ambaye hakujua kusoma, kuandika na kuhesabu,hongera bibi muhande popote ulipo,ulinifundisha Mimi, kigwangala,bashe na amos makala
Sawa mkuu
 
ID yangu itafuchuka na watu watajua umri na kusema "nenda Fesibuku ukachat na watoto wenzako" sitotaja kamwe ila kisummary ni Dar es Salaam wilaya ya Temeke.
Basi ibaki hivyo hivyo mkuu
 
Ila apunguze zile post zake ndefu kama barua za yule maandishi wa kile kitabu Cha "Barua Ndefu Kama Hii"
Kabisa.Maana Pascal ni kiboko.Hata kama anataka kukupa mfano nao atautolea mfano wenye references zake kama tano hivi.Hapo bado hajakupeleka anapotaka kukuelewesha!Mbona unaweza kuaga uende zako kilabuni ukanywe komoni tu.
 
Kabisa.Maana Pascal ni kiboko.Hata kama anataka kukupa mfano nao atautolea mfano wenye references zake kama tano hivi.Hapo bado hajakupeleka anapotaka kukuelewesha!Mbona unaweza kuaga uende zako kilabuni ukanywe komoni tu.
Fupi na tamu

Huyu angekuwa mwalimu angeishia kuwaboa wanafunzi
 
Mimi namkumbuka Mwl. Minja.

Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini!

Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma kushuka chini hivyo muda wowote nalimwaga kojo.

Hakunisema wala kunipiga, ila alifungua zipu yangu na kuishusha chini kisha akakishika kibamia changu akakielekezea kwenye shimo moja ndani ya Darasa la kwanza pale Makurumla Primary School mwaka 1995, sitamsahau kwa hilo.

Popote ulipo mama Mungu akubariki.

View attachment 2574955View attachment 2574956
Sisi wahenga tulianza moja kwa moja darasa la kwanza hasa kwa sisi wa vijijini. Hakuna cha chekechea wala shule ya awali. Chekechea kwa ninyi wa miaka kuanzia 80's kuendelea
 
Dah, humu tunaishi na watoto wetu kama sio wapwa wetu 95 uko chekechea duh!
Sema madogo wa sa hivi mnajua mengi mnaweza kumtoa knockout mtu mzima. Mi siku hizi sitaki ligi na madogo wanaweza kukudhalilisha hivihivi watoto wa GPT hawa wanajua mengi.
Bora akupe za uso kwenye hoja kwa hoja.Sasa,nilitamani kumwambia binti yangu kabisa neno.Tulibishana jambo kidogo JF.Aliniporomoshea matusi kama gunia nne hivi.Mungu haishi Rau Madukani pekee!Kabla hajarudi shule Januari nikakuta simu yake yupo JF.Nikabaini hadi id yake.Nilicheka sana ila sijawahi kumwambia.Anampenda JPM ile mbaya.
 
Back
Top Bottom