Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Noma sana hao maticha sampuli ya maza.Utajua kusoma,kuandika,kuhesabu na kuendelea na madarasa ya juu bila ngendembwe.Hawana ubaya wowote ule.
Wale ndiyo walikuwa real teachers

Walifundisha Toka moyoni

Nakumbuka Mwalimu Mohamed dah yule mama alikuwa na sauti ya zege na alikuwa anapinga fimbo sijaona aisee

Yule mama alinifundisha Darasa la tatu "This and That" akitumia kile kitabu Cha Musa


Sijasahau mpaka leo
 
Shilingi hamsini?Unacheza wewe!Ada shilingi tano halafu uwe na hamsini?Madaftari na penseli bure.Niliwahi kununua sufuria la kapile(mihogo imepikwa na kuungwa nyanya mchuzi kwa wingi)kwa shilingi 20(tuliita mbao)tukafurahi na "magangwe" wenzangu hadi basi!
Shule niliyosoma Mimi hiyo mihogo wakiita marosti,yaani genge lenu mmoja akienda kununua wengine mnamlinda kwa nyuma,akigeuka na bakuli mnaanza kula mkienda,laa sivyo mtaachiwa mchuzi tu na wahuni
 
Mwalimu Mafaa, Shule ya msingi Mzimuni sasa Mikumi!!!!!!!!!!!!! Wahenga wa Magomeni na maeneo jirani mnamkumbuka huyu mama????????
Aaaahahj

Nyie mlikuwa watano zetu wa jadi

Kuna pisi Kali ilikuwa inasoma hapo ilinitangulia darsa moja

Miye Makurumla la kwanza yeye Mikumi la pili

Dah nimepamisi Mwembechai ghafla
 
Shule niliyosoma Mimi hiyo mihogo wakiita marosti,yaani genge lenu mmoja akienda kununua wengine mnamlinda kwa nyuma,akigeuka na bakuli mnaanza kula mkienda,laa sivyo mtaachiwa mchuzi tu na wahuni
Ahahaaa
 
Wa zamani wengi hatukusoma awali/chekechea/vidudu.Walisoma wachache sana.Shule tulianzia nyumbani kufundishwa na ndugu,marafiki,wazazi na utunduutundu tu.
Sikusoma chekechea Wala sikufundishwa nyumbani,Ila kufika la tatu hakuna ambaye hakujua kusoma, kuandika na kuhesabu,hongera bibi muhande popote ulipo,ulinifundisha Mimi, kigwangala,bashe na amos makala
 
Back
Top Bottom