Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Watoto wa siku hizi wanadeka sana.Ni wasumbufu na wanapenda wapelekwe shule za awali wakabugie uji,maziwa na peremende.Sikuwahi kwenda shule ya awali.Ni moja kwa moja darasa la kwanza nikiwa nimebeba adidas mgongoni.Hamna kulialia.Utabamizwa makofi au kufinywa mashavu hadi uimbe haleluya.
AdidasπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nilikuwa mwembamba

Si unajua wale walozaliwa the mid 80s na early 90s tulizaliwa kipindi Cha njaa

Miye nilizaliwa Singida

So you get the full picture there
Ni kweli.Kama sijasahau mwaka '85/'86 ulikuwa mibaya sana kwa chakula.Ingawa si hoja.Kwani haukupima mkono wa kulia kama unashika sikio la kushoto kupitia juu ya kichwa chako?Ila,wengi wa zamani walimaliza "vikongwe"!Mama yangu alinihadithia kwamba,alivyoanza ualimu alifundisha wanafunzi wanamzidi zaidi ya miaka mitano.Na ni wengi tu.Tulipokuwa pamoja njiani na kukutana nao nikawa nacheka kwa kugugumia wanavyomuamkia mama.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aahahaha

Dah those golden days won't return to be enjoyed again

Walimu wa upe hao
 
AdidasπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Na ukichakaa huo ni mwendo wa kubeba "Rambo","Marlboro" au mingine ilikuwa inaandikwa "Kariakoo Bazaar"!Kumbuka ni ya nailon hiyo.Au gangwe nikichelewa kurudi nyumbani naweka madaftari nyuma mgongoni ndani ya shati.Hapo napita koridoni kwa machale ili mama asishtukie movie!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
UwiiiiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kuweka mgongoni nimekumbuka mbaliii
 
Na ukichakaa huo ni mwendo wa kubeba "Rambo","Marlboro" au mingine ilikuwa inaandikwa "Kariakoo Bazaar"!Kumbuka ni ya nailon hiyo.Au gangwe nikichelewa kurudi nyumbani naweka madaftari nyuma mgongoni ndani ya shati.Hapo napita koridoni kwa machale ili mama asishtukie movie!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaahahajj

Nimeiba Sana mikebe kwenye hiyo mifuko

Unauchana Kwa chini vitu vyote chiniiii
 
Back
Top Bottom