Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
-
- #141
Watoto wake waiipata hiyo zawadi itakuwa poa sanaNdugu yangu ningemtafuta sema Alisha tangulia mbele za haki
Mngoni huyu. Mr Njogopa alikuwa nae mwalim wa hesabu shule fulani ya sec kule kibaha sasa sielewi kama unamzungumzia mkewe au Njogopa mwingine. Kama ni huyo mkewe alifariki ambae nae alikuwa mwalimuNjogopa jina zuriii
Acha bwana 😮😮😮😂😂😂😂😂Bora akupe za uso kwenye hoja kwa hoja.Sasa,nilitamani kumwambia binti yangu kabisa neno.Tulibishana jambo kidogo JF.Aliniporomoshea matusi kama gunia nne hivi.Mungu haishi Rau Madukani pekee!Kabla hajarudi shule Januari nikakuta simu yake yupo JF.Nikabaini hadi id yake.Nilicheka sana ila sijawahi kumwambia.Anampenda JPM ile mbaya.
Mkuu nilisoma enzi ya Nyerere, nitampataje hizo kumbukumbu?Poa mkuu
Ukienda pale shuleni ukiuliza utapewa mwaongozo
AahahahMkuu nilisoma enzi ya Nyerere, nitampataje hizo kumbukumbu?
Mnahusika mkuuAmbayo hatukupita iyo level vipi tunahusika hapa amaaa
Mwalimu Wangu alkuwa mkali sana irabu zile ndani ya wiki tu nazijua,alfabeti mwez Moja,silabi mmoja ,kuunga sentensi wiki mbili tuUlikuwa kichwa sana
Hongera mkuu
[emoji2][emoji2][emoji2] JF burudani sana,kwahyo coca anagawa 0712?Huna zawadi ya kumpa zaidi ya kisamvu .
Bahati nzuri Mwl hatumii hiyo kitu.
Akikuona lazima atasikitika sanaa
Hongera zake mwalimu wako mkuuMwalimu Wangu alkuwa mkali sana irabu zile ndani ya wiki tu nazijua,alfabeti mwez Moja,silabi mmoja ,kuunga sentensi wiki mbili tu
Muungano ya wapi?Lol
Shule ya msingi Muungano
Mwaka nauhifadhi
Muungano ya wapi?
Huyu mwl. Nyenza alistaafu akiwa shule ya msingi Mlangqli and I don't think Kama bado yupo hai maana nilikutana naye mwaka 1996.Nimemkumbuka mwalimu Nyenza chekechea Iringa shule ya Muungano,miaka mingi sana imepita sijui bado yupo pale shuleni Muungano?
MwalimuYupi huyo mtaje mkuu
Utaje tu huo mwaka huenda nilikufundishaLol
Shule ya msingi Muungano
Mwaka nauhifadhi
Huyu mwl Nyenza nimefanya naye kazi pale Mlangqli primary miaka ya 1995- 1999 nilipoachana na ualimu. Sina uhakika Kama bado yupo hai.Yeah!!ni huyohuyo bibi,maana tangu anifundishe chekechea ni zaidi ya miaka ishirini sasa
Unajiitaje mzee wakati mwaka 1985 nilikuwa btp hapo igumbiro primary? Huenda nilikufundisha nyimbo za mchakamchaka!Ni kweli.Kama sijasahau mwaka '85/'86 ulikuwa mibaya sana kwa chakula.Ingawa si hoja.Kwani haukupima mkono wa kulia kama unashika sikio la kushoto kupitia juu ya kichwa chako?Ila,wengi wa zamani walimaliza "vikongwe"!Mama yangu alinihadithia kwamba,alivyoanza ualimu alifundisha wanafunzi wanamzidi zaidi ya miaka mitano.Na ni wengi tu.Tulipokuwa pamoja njiani na kukutana nao nikawa nacheka kwa kugugumia wanavyomuamkia mama.😂😂😂😂😂
Zawadi gan?Mwl Njogopa, popote ulipo Madame, ubarikiwe sanaa, sitasahau nilikua naumwa ulitandika khanga yako nilale chini.
Ulikua unanambia nna kichwa chepesii, nna kariri vitu kwa haraka, afu sisahau, ulinitabiria nitafika mbali, ile taaluma yako ulitakaga niwe nayo, niliitoa nilipofika 4m 3. niko na taaluma nyingine.
Ulihama nikiwa std 3, sijawahi kukuona tenaa. Natamani nikuone nikupe zawadi, ule msingi uliojenga kwangu ni mkubwa mnoo.
[emoji120][emoji120][emoji120]