Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Vidudu miaka hiyo ya 80's nilisoma shule ya awali inaitwa Modern Nursery School. Ilikuwa samora kwenye moja magorofa ya msajili mkabala na JM mall ya sasa.
Kulikuwa na mama mmoja muhindi Goa anaitwa Maria Gonzalves. Mungu amrehemu yule bibi alikuwa na upendo wa kipekee.

Primary kuna puuzi moja lilikuwa linaitwa Mkude, alikuwa Olympio ambayo sasa imegawanywa na kuwepo Diamond hapo hapo. Lile kuda lilinipiga fimbo moja ya mgongo mpaka leo nina alama.
Mkude [emoji3185]
 
Mwalimu wangu nimesahau jina alikuwa mhaya ukimkwaza anafinya tumboni Hadi unatamani kukata roho
Kunatukio nakumbuka ilikuja ambulance karibu na shule tukakota mbio tukasema ni wanyonya damu 😀😀😀mlango ulikuwa mdogo tukapitia madirishani 😂😂😂😂
 
Na ukichakaa huo ni mwendo wa kubeba "Rambo","Marlboro" au mingine ilikuwa inaandikwa "Kariakoo Bazaar"!Kumbuka ni ya nailon hiyo.Au gangwe nikichelewa kurudi nyumbani naweka madaftari nyuma mgongoni ndani ya shati.Hapo napita koridoni kwa machale ili mama asishtukie movie![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia za watoto wa kitanzania ni sawa [emoji23][emoji23], kuna upuuzi unaezakuta ulifanya kumbe kuna kundi limeshafanya kama wewe 1000x
 
Mimi namkumbuka Mwl. Minja.

Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini!

Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma kushuka chini hivyo muda wowote nalimwaga kojo.

Hakunisema wala kunipiga, ila alifungua zipu yangu na kuishusha chini kisha akakishika kibamia changu akakielekezea kwenye shimo moja ndani ya Darasa la kwanza pale Makurumla Primary School mwaka 1995, sitamsahau kwa hilo.

Popote ulipo mama Mungu akubariki.

Hivi kuna uhusiano gani kati ya kina minja na ualimu.
Shule ya msingi nilifundishwa na mwalimu minja
UDSM (Conas) nilifundishwa development studies na mwalimu Minja
 
Hivi Hawa wakina minja ni gifted k

Hivi kuna uhusiano gani kati ya kina minja na ualimu.
Shule ya msingi nilifundishwa na mwalimu minja
UDSM (Conas) nilifundishwa development studies na mwalimu Minja
Aahaaaa

Sijajua mkuu
 
Huyu aliyekuwa wanafunzi wanamwita Reagan?

😀😀
Huyo huyo Ally Hemed a.k.a Reagan mdigo aliyeendelea.
Ulimaliza lini Jumuiya?
Tuanze grupu letu tukiwakumbuka kina Ndeya, Manyiri, Mhina mzee, Mhina mchafu, Mwinjage.
 
Wale ndiyo walikuwa real teachers

Walifundisha Toka moyoni

Nakumbuka Mwalimu Mohamed dah yule mama alikuwa na sauti ya zege na alikuwa anapinga fimbo sijaona aisee

Yule mama alinifundisha Darasa la tatu "This and That" akitumia kile kitabu Cha Musa


Sijasahau mpaka leo
ubungo national housing

Sent from my SM-J510FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom