Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza safari yake ya muziki wa Bongo Fleva mwaka 2003, alipozindua albamu yake ya kwanza, "Mapenzi Yangu."
Amewahi kushinda tuzo mbalimbali kama:
-Msanii Bora wa Kike kwenye Tuzo za Muziki za Tanzania (2004 na 2007)
-Msanii bora wa Kike kutoka Uganda na Tanzania Tuzo za Muziki za Kisima (2004)
Pia, Ray C ni mtetezi wa harakati za Serikali za kupambana na Biashara ya Dawa za kulevya