Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

Daaaa nilisikitika sana maisha yake ya Sembe,haswa alipokuwa akiishi Kenya,alikuwa anakula Sembe halafu akizidiwa wahuni wanamkula hovyo,Sijui kama hajatoka na Ngoma .Nampongeza kwakushinda vita yakula sembe
 

Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.

Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.

Alianza safari yake ya muziki wa Bongo Fleva mwaka 2003, alipozindua albamu yake ya kwanza, "Mapenzi Yangu."

Amewahi kushinda tuzo mbalimbali kama:
-Msanii Bora wa Kike kwenye Tuzo za Muziki za Tanzania (2004 na 2007)

-Msanii bora wa Kike kutoka Uganda na Tanzania Tuzo za Muziki za Kisima (2004)

Pia, Ray C ni mtetezi wa harakati za Serikali za kupambana na Biashara ya Dawa za kulevya
Kwa wanao jua atakua na undugu na chalamila huyu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...???
 
Ray c kabla ya utangazaji na uanamuziki alikuwa dj...
Nashangaa sahv mkiwaona madj wa kike mnaona kama jambo geni,wakati enzi hizo Ray c alikuwa anachezea timetables

Ova
 
Namba yako nnayo ntakupigia usihofu Ila hivi ulisema una watoto watatu Baba tofauti?
ni kweli ila sasa nna mimba nyingine baba tofauti tena,,, namba nmebadili njoo nkupe ya sasa.
 
Khaaa pumzika sasa maji yamepoa.....wamekula maisha sanaaa
 
Back
Top Bottom