Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

Daaaa nilisikitika sana maisha yake ya Sembe,haswa alipokuwa akiishi Kenya,alikuwa anakula Sembe halafu akizidiwa wahuni wanamkula hovyo,Sijui kama hajatoka na Ngoma .Nampongeza kwakushinda vita yakula sembe
 
Kwa wanao jua atakua na undugu na chalamila huyu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...???
 
Ray c kabla ya utangazaji na uanamuziki alikuwa dj...
Nashangaa sahv mkiwaona madj wa kike mnaona kama jambo geni,wakati enzi hizo Ray c alikuwa anachezea timetables

Ova
 
basi bwana,,kile kiuno ndo kaniachia mimi apa,,ila sauti kamwachia nandy na ruby
Kiuno HICHO kuna Muhuni anakikamatia vilivyo km Lord Eyes alivyokua anakikamatia vilivyo kiuno cha Ray C
 
Namba yako nnayo ntakupigia usihofu Ila hivi ulisema una watoto watatu Baba tofauti?
ni kweli ila sasa nna mimba nyingine baba tofauti tena,,, namba nmebadili njoo nkupe ya sasa.
 
Khaaa pumzika sasa maji yamepoa.....wamekula maisha sanaaa
 
ni kweli ila sasa nna mimba nyingine baba tofauti tena,,, namba nmebadili njoo nkupe ya sasa.
Nije unipe nyingine? Kwa hio na Mimba HIO utatombeka kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…