Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

Nani mjinga hapo?

Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
Wote mnakuwa wajinga .

Hata kama mke ni maji mara moja haikutoi wewe makosani kumtongoza mke wa mtu.

Kutongoza ni kumshawishi mtu unavyomtongoza mke wa mtu maana yake unamshawishi ulale nae sasa unajitoa vipi hapo makosani .
 
Vijana hawataki kukojoa mapema......
 
Reactions: Tsh
Ukiona mtu kampakia mkongo mkeo

Ujue lengo lake Ni kutuma msg kwa mkeo kua huwajibiki au huna nguvu za kiume

Maana ake anamtuma mkeo akija nyumban akutukane na akudharau

Ndo maana mwanamke anayechepuka hasameheki kamwe, na pia anayetembea na MKE wa mtu (kwa kukusudia) adhabu yake iwe ya kudhalilisha pia.
mf: apakwe kilainishi jichoni n.k
 
🙋
 
Ni hivi: Ukisikia mke wako ametembea na mtu nje ya ndoa mfukuze mara moja wala usifikiri mara mbili. Siku zote wanaume wanaotembea nje ya ndoa hutumia huo muda kufanya vitu vya ziada kwa wanawake wao wa nje. Yaani wanawatumia kama maabara. Na mbaya zaidi siku hizi kuna kugeuza samaki hivyo uwezekano wa mke wako kufanyiwa hivyo kama ametoka nje ya ndoa ni mkubwa sana.
 
Vijana hawataki kukojoa mapema......
Wangetafiti kwanza kama wanawahi. MFANO: Ukiachana na wanamichezo ambao nao wana kipindi maalum cha mazoezi kisha wanatakiwa kustaafu Binadamu kwa kawaida anaweza kukimbia km10/saa sasa kwann ikusumbue kushindwa kukimbia km20/saa wakati ww ni binadamu? Anayehitaji kuona mbio zaidi ya hizo akaangalie wanyama kama mbwa, fisi, n.k na sio wewe unywe madawa ili uzifikie hizo mbio.
 
Nani mjinga hapo?

Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
Washauri wawatunze wake zao vizuri badala ya kuendekeza kamari na pombe
 
True. Those artificial powers fade out after some time. And then their situation becomes worse than it had been because they are now dependent completely on the drugs.
 
NAKAZIA HAPA.
 
👍
 
True. Those artificial powers fade out after some time. And then their situation becomes worse than it had been because they are now dependent completely on the drugs.
Wako kama wale madereva akiwa anasafiri mkoani akifika anaanza kusema nimemnyoosha jamaa ana V8, hatakaa anisahau. Hapo ana vitz na mwenye V8 wala hakujua kuwa anashindana.

All they think of is sex compitition. They blv they are man enough only if the race is won while there is no race, it's in their heads.
 
Aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…