Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Na sheria ya mkongo ni kavu kavu hapo ndio vijana wanapoukwaaNa ukishapaka mkongo kama ana Moto lazima ubaki nao🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sheria ya mkongo ni kavu kavu hapo ndio vijana wanapoukwaaNa ukishapaka mkongo kama ana Moto lazima ubaki nao🙄
Wote mnakuwa wajinga .Nani mjinga hapo?
Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
Hakuna mkongo wa kike?Niwapakie wakina nani tena[emoji3]
Vijana hawataki kukojoa mapema......Ukiona kijana anapambana na booster ujue ana hitilafu na ukimpa mkeo chini ya miezi 6 atakuwa keshamshindwa kwa sababu ngono kwake inahitaji maandalizi achilia mbali uwezo wa kutimiza majukumu. Watu wenye hitilafu hii hata majukumu hawawezi sababu hawana uwezo wa comitment. Ukiwapa majukumu ya mke tatizo linakuwa kubwa zaidi hata mkongo unamsaliti.
Wanawake wengi wanajua haya, mkeo pamoja na kupakiwa mkongo ukimwambia haya nenda huko ili upakiwe mkongo kila siku atapiga ukunga maana anajua huyo ni mwanaume wa masaa tu baada ya hapo hamna mwanaume.
Wasiojua ndo huwa wanaenda halafu baada ya miezi kadhaa wanaanza kutuma wazee wenye busara. Kwa kawaida Nguvu za asili tulizopewa zinatosha mpaka pale panapotokea hitilafu.
Mtakufa vibaya mnoAchana na mkongo kuna kitu inaitwa viksi hiyo ni saa 72 au siku tatu net .
🙋Ukiona mtu kampakia mkongo mkeo
Ujue lengo lake Ni kutuma msg kua huwajibiki au huna nguvu za kiume
Maana ake anamtuma mkeo akija nyumban akutukane na akudharau
Ndo maana mwanamke anayechepuka hasameheki kamwe, na pia anayetembea na MKE wa mtu (kwa kukusudia) adhabu yake iwe ya kudhalilisha pia.
mf: apakwe kilainishi jichoni n.k
Ni hivi: Ukisikia mke wako ametembea na mtu nje ya ndoa mfukuze mara moja wala usifikiri mara mbili. Siku zote wanaume wanaotembea nje ya ndoa hutumia huo muda kufanya vitu vya ziada kwa wanawake wao wa nje. Yaani wanawatumia kama maabara. Na mbaya zaidi siku hizi kuna kugeuza samaki hivyo uwezekano wa mke wako kufanyiwa hivyo kama ametoka nje ya ndoa ni mkubwa sana.Ukiona mtu kampakia mkongo mkeo
Ujue lengo lake Ni kutuma msg kua huwajibiki au huna nguvu za kiume
Maana ake anamtuma mkeo akija nyumban akutukane na akudharau
Ndo maana mwanamke anayechepuka hasameheki kamwe, na pia anayetembea na MKE wa mtu (kwa kukusudia) adhabu yake iwe ya kudhalilisha pia.
mf: apakwe kilainishi jichoni n.k
Wangetafiti kwanza kama wanawahi. MFANO: Ukiachana na wanamichezo ambao nao wana kipindi maalum cha mazoezi kisha wanatakiwa kustaafu Binadamu kwa kawaida anaweza kukimbia km10/saa sasa kwann ikusumbue kushindwa kukimbia km20/saa wakati ww ni binadamu? Anayehitaji kuona mbio zaidi ya hizo akaangalie wanyama kama mbwa, fisi, n.k na sio wewe unywe madawa ili uzifikie hizo mbio.Vijana hawataki kukojoa mapema......
Washauri wawatunze wake zao vizuri badala ya kuendekeza kamari na pombeNani mjinga hapo?
Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
True. Those artificial powers fade out after some time. And then their situation becomes worse than it had been because they are now dependent completely on the drugs.Ukiona kijana anapambana na booster ujue ana hitilafu na ukimpa mkeo chini ya miezi 6 atakuwa keshamshindwa kwa sababu ngono kwake inahitaji maandalizi achilia mbali uwezo wa kutimiza majukumu. Watu wenye hitilafu hii hata majukumu hawawezi sababu hawana uwezo wa comitment. Ukiwapa majukumu ya mke tatizo linakuwa kubwa zaidi hata mkongo unamsaliti.
Wanawake wengi wanajua haya, mkeo pamoja na kupakiwa mkongo ukimwambia haya nenda huko ili upakiwe mkongo kila siku atapiga ukunga maana anajua huyo ni mwanaume wa masaa tu baada ya hapo hamna mwanaume.
Wasiojua ndo huwa wanaenda halafu baada ya miezi kadhaa wanaanza kutuma wazee wenye busara. Kwa kawaida Nguvu za asili tulizopewa zinatosha mpaka pale panapotokea hitilafu.
NAKAZIA HAPA.Ni hivi: Ukisikia mke wako ametembea na mtu nje ya ndoa mfukuze mara moja wala usifikiri mara mbili. Siku zote wanaume wanaotembea nje ya ndoa hutumia huo muda kufanya vitu vya ziada kwa wanawake wao wa nje. Yaani wanawatumia kama maabara. Na mbaya zaidi siku hizi kuna kugeuza samaki hivyo uwezekano wa mke wako kufanyiwa hivyo kama ametoka nje ya ndoa ni mkubwa sana.
👍Wangetafiti kwanza kama wanawahi. MFANO: Ukiachana na wanamichezo ambao nao wana kipindi maalum cha mazoezi kisha wanatakiwa kustaafu Binadamu kwa kawaida anaweza kukimbia km10/saa sasa kwann ikusumbue kushindwa kukimbia km20/saa wakati ww ni binadamu? Anayehitaji kuona mbio zaidi ya hizo akaangalie wanyama kama mbwa, fisi, n.k na sio wewe unywe madawa ili uzifikie hizo mbio.
Wako kama wale madereva akiwa anasafiri mkoani akifika anaanza kusema nimemnyoosha jamaa ana V8, hatakaa anisahau. Hapo ana vitz na mwenye V8 wala hakujua kuwa anashindana.True. Those artificial powers fade out after some time. And then their situation becomes worse than it had been because they are now dependent completely on the drugs.
Vp[emoji137]
Hakuna jipya
AiseHii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.
Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani, halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.
Mungu atausaidie Sana wanaume, kama una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa.