Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

Daah huyu Amida ni mrembo haswaa, lakini naona anapenda spotlight design ya Kajala vile. Halafu naona bado ni mke wa huyo jamaa Vital Kamerhe sasa sijui hii imekaa vipi.
 
Wewe. Mke wa JB aliolewa na bilionea. I mean billionaire.
Sasa huyu Malaya anakandamizwa na kitoto hela hakina mpaka kifanye uchawa kwa huyo mtoa msamaha.
Ubilionea ni habari ingine. Kingine wakongo hawatumii mtandao wa tigo.
 
Omba Mungu Usione viumbe hawa wanasiri sana! unaweza usijue mpaka unaingia kaburini.
 
Omba Mungu Usione viumbe hawa wanasiri sana! unaweza usijue mpaka unaingia kaburini.
Ndiyo iwe Siri nisijue... Lakini hiyo story ya JB ni ya kipuuzi na aibu kwake iwapo ni kweli
 

Kweli mkuu nimeusikiliza tena hiyo mistari ipo [emoji1544][emoji1544]
 
Pamoja na yooote Papa Sherri sio muasisi wa kundi la WENGE.
 
Athari moja wapo ya kufakamia kiti moto ni hii. Unakuwa huna wivu kwa ahli zako kama alivyo yeye mwenyewe.
 
Amida anaonekana ni mpigaji tu

Yaan miamba inajitombea inavyotaka, k haipoi kesho katombwa kule kesho kutwa katombwa kule, yeye ni mwendo wa kutembeza k tu kwa vibopa

K inatoka kwa Mpiana haijapoa inaenda kwa Didi mara haijapoa vizuri inaenda tena kwa Mpiana, kwa Mpiana haijapoa vizuri inaenda kusuguliwa na Vital

Acha K iitwe K

Kwenye mapenzi mwanamke ndio anatakiwa ampende mwanaume ndio sio kumheshimu na kumtii tu bali awali ya yote mwanamke ampende mwanaume wake kwa mapenzi ya dhati hapo mtadumu hadi mnakua vikongwe ila sio kwamba mwanaume kujitoa ufahamu na kujifanya kumpenda mwanamke maana mwanamke mda wowote zikifyatuka kichwani anaweza akasepa zake akaenda kuzaa kwingineko si amebeba mfuko wa mimba utamwambia nini?,

Mwanaume punguza shobo hakikisha umependwa na mwanamke sio wewe ujitie chizi mapenzi eti umempenda mwanamke ni mama yako mzazi huyo?, utakula za uso ufe kibudu kenge wee

Pole zimfikie JB Mpiana popote alipo

Masanja Mkandamizaji jiandae kisaikolojia anytime wahuni watafanya yao tena kwa mara nyingine
 
Ukipata unayempenda utasamehe kama Masanja
Mimi narudia tena

Wanawake wote unaowaona wamedumu kwenye ndoa miaka na miaka wengine wanafika hadi kuzeeka pamoja, ni wao ndio wamewapenda wanaume zao walionao ila sio wamedumu sababu wamependwa na mwanaume hio ni big NO, mwanamke ili adumu na mwanaume inabidi yeye ndie ampende mwanaume wake

Kwa hio wanaume waache kujidanganya kwamba wanampenda mwanamke, mwanamke inabidi yeye ndio ampende mwanaume na aamue kujenga nae maisha, kinyume na hapo anytime mwanaume anakula za uso kikitokea kibopa kina faranga za kutosha umekwisha maana haujapendwa wewe mwanaume zimependwa faranga tu, mwanamke anafuata kwenye kuna hizo faranga mingi za kutosha akitokea mdau akapanda dau huyoo anaenda kumvulia chupi

Biee?

Hilo ndilo funzo la simulizi yako nililojifunza mimi sio vinginevyo
 
Picha ya mke wa Mpiana iko wapi mkuu?
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…