The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
FOA EP ina over 12M+ Spotify streams ndio EP/Album pekee kutoka East Africa yenye streams nyingi kwa albums/EP zilizotoka karibuni...... NOTE: ngoma zote 10 kutoka kwenye FOA ni mpya hakuna ngoma iliyotoka miezi 7 nyumaBro mna jipya 😆🤣
View attachment 2847624
Diamond platnumz huu mwaka ndiye msanii kutoka East Africa aliyesikilizwa zaidi katika mtandao wa Spotify, ana total streams 270M+....... hakuna msanii yeyote kutoka East Africa mwenye ata nusu ya hizo streams..........
Diamond platnumz ndio msanii pekee kutoka Tz/East Africa ambaye huu mwaka ngoma zake au featuring.... nyingi ndio zimeweza kufika M+ Spotify streams (yatapita 2M, Shuu 4M, Enjoy 2M, My baby remix 1.5M, Kolo kolo 6M, Sete remix, ........ na huu mwaka ana ngoma zisizozidi 10.
Hayo ni baadhi tu kutoka mjini Spotify zama ndichi ulete kipya chenu......... watu wamekuwa wakifanya maajabu miaka nenda rudi na ndio maana unawaona kwenye matamasha na tuzo kubwa duniani km MTV EMA au Afro nation......... maajabu yenu nyie ni kwa nyie wenyewe na sio maajabu kwenye tasnia ya burudani na ndio maana nyie ni Mzuki mnene tu....... kama unabisha post na show ya liberia km hamkuwa 8