Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
afanye mishe za kawaida kabisa kama uchuuzigentleman,
aanzie chini wapi na ana 40yrs now?🐒
Yani kwamba Wanasisiem uduvi hamuwaoni au hamuwajui isipokuwa Alubati ?Gentleman,
hizo ni nini kwa lugha nyingine kwa faida ya wadau?🐒
Ushauri wangu kwake ni kwamba atafute mtu wa kufanya a nae. Kama yeye ni chawa basi atafute chawa mwenzie la sivyo ndoa itakuwa na changamoto nyingi sana za hapa na pale. Kawaida kwa mwanaume huwa sio shida kupata wa kumuoa ila kwaajili ya afya yake ya akili asioe vijana wa 2000 atakufa siku si zakekwahiyo huyo ni Mzee kijana right?
una mshauri nini sasa huyo Mzee gentleman?🐒
huenda kijana muhusika anakusoma vizuri sana mawaidha yako haya gentlemanUshauri wangu kwake ni kwamba atafute mtu wa kufanya a nae. Kama yeye ni chawa basi atafute chawa mwenzie la sivyo ndoa itakuwa na changamoto nyingi sana za hapa na pale. Kawaida kwa mwanaume huwa sio shida kupata wa kumuoa ila kwaajili ya afya yake ya akili asioe vijana wa 2000 atakufa siku si zake
Gentleman Nikifa MkeWangu Asiolewe 💪💪👊👊Mkuu Tlaatlaah Nitatoa visa 2 kama nitaweza huenda vitamsadia kijana mwenzangu hata mmoja tu.
Baada ya kumaliza kidato cha nne mimi nikiwa na miaka19 tu moja kwa moja nilitoroka nyumbani nakuanza kazi za nguvu mojawapo ya kazi hiyo ni kuchoma mkaa na kukata miti kwa chainsaw.
Huku kijijini kwetu wale tuliomaliza nao waligeuka na kuwa masharobaro /Tozi kipindi hicho.Baada ya matokeo kuja mi nilifeli asee na wao wakaendelea na A level wengine chuo cha ualimu nk.
Baada ya mwaka nilitoka huko nilikoenda nikatua home na zawadi za wazee wangu wala hawakukumbuka niliondoka kwa kutoroka japo nilikaa kama miezi3 bila kuwaambia kule nilipo. Hapo nyumbani tuna bonde na mara zote mzee alikuwa analima bustani. Nilianza kul;ima nyanya na mbogamboga zingine kwa speed mno hadikanunua kiwanja cha 180k karibia nusu heka.
Nilipambana hadi nikapa ada ya kwenda veta anda ilikuwa 1,300,000/= kwa mwaka nilimudu mwenyewe kwa miaka3.
Wenzangu walioenda kusoma ualimu wakahitimu mi nikiwa veta bado klipindi hicho wakatengeneza group la connectuion za kazi namimi nikaungwa sijui ili wawe wananisimanga anyway sikujali wala kujitoamo.
Hatimae nikatoka veta niakenda nyumbani then nikarudi mwanza pale nilipokuwa nafanya field yangu ya ufundi (umeme wa magari) Nikapiga pale kama miezi sita nikaona ile kazi nafanya tu lakini akilini yangu yote ipo kwenye kilimo na kufuga kuku. Nikarudi kijijni tena Uzuri wazazi wananikubali sana kwenye mishe hizo ukumbuke hata kipindi nasoma ni kwa msaada wa kuku nilikuwa nimefuga na kuwaacha kwa mama kuku kama 157 hapo walikuwa wadogo wote.Maana wakubwa wote niliuza mwanzo kabisa kipindi naenda kuanza mwaka wa1.
Nikarudi kwa speed hiyohyo na utashi mkubwa zaidi nalima na kufuga muda huo nipo na camera napiga picha kijijini huku nalima na kufuga.Sikuona ugumu wa maisha kabuisa hadi nikajenga nyumbani na kwa akili ya watu wa kijijni wakajua naoa.
Hawa jamaa walioenda ualimu walipo maliza tu wengi walianza kujitolea kufundisha wakilipwa 70k kwa mwezi walioendaa shuleza mjini walikuwa wanalipwa 150k kwa mwenzi na pesa hadi ukomae hasa kuidai.
Hadi sasa waliojaliwa na serkali ni wachache mno ninao wafahamu ni3 tu tena mwingine ndo kaajiliwa mwaka jana kuhusu maendeleo aliyo nayo hata wewe ijapokuwa sio nabii unaweza ukajua namna ya maisha yake aliyo nayo hadi sasa ilifika hatua anakuja kuomba nguo nilizovaa mimi zikanibana ama kupauka nampa na kuna muda nampa hata zile nzuri kabisa.
************************************************************************************************************************
Kuna huyu mwingine kasoma hadi chuo kikuu huyu sasa ni wakuonea huruma mno.Niliwahi mpa kazi kwa sababu anaelimu basi asimamie kuku wangu ikiwa pamoja na kupeleka sokoni kuku hao kuuza tena kwa makubaliano mazuri tu. Huyu aliwaambia watu nimemdharau sana etii Elimu yake sio ya kumpa kazi ya kijinga kama ile. Ukweli nilimuonea huruma mno huyu jamaa nikajiuliza hivi Elimu yake imemsaidia nini huyu jamaa hadi sasa ana watoto wa2 mama tofauti anapiga mimba ovyo tu halafu leo nimempa kazi rahisi tu kaona haendani na elimu yake!!?
Kwanza soko la kuku sio la kutafuta bali wanunuzi ndo hutafta kuku walipo inakwuaje aone kazi namna hii? Kwa sababu ni jamaa nilimpigia simu nikamuuliza amefikia wapi sasa kuhusu nilicho mwambia akaniambia Ame aply maombi ya kazi bado anasikilizia. Baada kama siku 6 akaniomba laki3 ahonge akiajiliwa atanirudishia hela yangu maana kaambiwa atowe 500k na yeye kajitafuta na kupata200k hivyo bado 300k tu. Ukweli hela sikumpa asee nilimwambia na ujenzi hela yote imeisha bila aibu akasema nimpe hata kuku10 auze maana kazi ni uhakika ..... Nilichoka kabisa asee. (unaweza ona hapa natunga lakini ndo hali halisi )
In General mkuu wasomi hawataki kazi za jasho wapo tyr afanye kazi ya ujira kidogo hata 200k kwa mwezi ili mradi tu kuwe na ofisi na kiyoyozi. Kuna dada yangu damu kabisa nilimwambia nimpe mtaji aache kazi ya mpesa kwa mtu Bali afunguwe yake nikamuuliza atahitaji sh ngapi ya kuanzia akasema m2 nikamwambia sina nitakupa m1 mtaji na kutengenezea ofisi nitakupa 300k akakubali ofisi alifungua siku4 tu akasema wateja hamna kabisa yani. kumbe kapata wanachuo wenzake wakamwambia wafanye biashara sijui za namna gani za online hela yote ikapigwa pyuuu.
Kweli kabisa, huyu anatudanganya. Miaka 40 kijana?Hakuna kijana wa 40 mkuu!
Wewe ni lijamaa fulani ambalo watumishi ambao akili zetu zimeharibiwa na ghiriba za maisha tunatamani tukuandikie barua za kuomba uwe rafiki yetu Ila tunaona aibu maana unaweza kukataa .Mkuu Tlaatlaah Nitatoa visa 2 kama nitaweza huenda vitamsadia kijana mwenzangu hata mmoja tu.

Huo ni umri wa makamo, yaani ujana unaishia 35, baada ya hapo ni umri wa makamo. Uzee ni kuanzia 60 gentleman!okay,
ni mzee kijana sio gentleman?🐒
Ahsante mkuu.Binafisi msomi anayechagua kazi na awe mwanaume ni wakuonewa huruma sana.Wapo wengi hii ni mifano michache tu mwingine kiangazi hiki kilichopita kaanza kupamba kwenye sherehe huko kijijni na analipwa 20-30k. Ksomea butimba pale huwa anakuja kabisa nyumbani kuwa shangaa kuku maana mi nafugia kwa wazazi kuku wangu. Ajabu ni kwamba hata kujifunza wala kuuliza naqwezaje kwa miaka hiyo yote hajawahi uliza ..kajitolea hadi shule zika mchoka ndo akabuni hii kazi ya upambaji (mapambo)Gentleman Nikifa MkeWangu Asiolewe 💪💪👊👊
narudia rudia kusoma hii true story ya mafanikio yako na nimeshindwa nikoment nini,
but ninaiona as cure and solution kwa vijana wote nchini waliostack socially and economically kupata uponyaji na kujikwamua kabisa kimaisha na kiuchumi wakithubutu na kuchukua maamuzi magumu kama ulivyofanya.
my friends, ladies and gentlemen,
hebu pitieni na msome na kujifunza namna ambavyo UTHUBUTU, maamuzi magumu, bidii na kutokukata tamaa kulivyomtoa kimaso maso kiuchumi huyu muungwana Nikifa MkeWangu Asiolewe,
tunakwama wapi wangwaana aise?
mwaka huu mpya 2025 ni mwaka kwa wadau wa JF waliokwama kiuchumi kujikwamua na kuondoka kabisaa kwenye unyonge wa kiuchumi.
Bachelor degree yako ni useless kama ni mnyonge kiuchumi. Ni aibu sana.
hakuna haja ya kusubiri inspirational article nyingine. Tutumie hii hii ya mdau mwenzetu kutoboa maisha kiuchumi.
🔥nimekukubali sana gentleman 👊💪