Unamshauri nini kijana huyu wa zaidi ya zaidi ya miaka 40, ambaye hajaoa, hana mtoto wala ajira mpaka sasa anakaribia kutokua na sifa za kuajiriwa?

Wewe ni lijamaa fulani ambalo watumishi ambao akili zetu zimeharibiwa na ghiriba za maisha tunatamani tukuandikie barua za kuomba uwe rafiki yetu Ila tunaona aibu maana unaweza kukataa .

Bro ,heshima yako ,naweza kuwa mshikaji wako wa damu na jasho ?
Mkuu karibu sana na tumbane sana naamini mtaji wa kwanza ni afya njema
 
Binadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kazi yakufanya,maadamu ni halali,mwenye elimu yake anaweza hata kufungua darasa la watoto akafundisha hata chini ya mwembe,akajiingizia kipato,dunia hii omba sana tu,mungu akujaalie uendelee kuwa na afya, maana mtaji wa kwanza ni huo.
Ujumbe wa maana kabisa huu mkuu.KONGOLE NYINGI KWAKO
 
Nimekurudia mkuu. Kuna jamaa ni kiwete (miguu iliyopinda kama yule aliwahi cheza kwa rose muhando wimbo wa nibebe) nadhani nimeweka picha halisi alivyo. yule jamaa ana baiskeli zao zile za kuendesha na mikono. Ameshajenga kakibanda kakujikinga na jua na mvua na hapo huwa ana pampu ya kujaza upepo wa baiskeli na pia huuza ndizi na miwa japo zamani alikuwa anauza ndizi tu na hiyo pampu ambayo utajaza wewe mwenyewe na kumpa mia ama mia2 kila ukijaza.

Siku moja ikanibidi tupige story kadhaa hapo ni baada ya kunizoea nikipita pale hata kama sina nia na ndizi ama muwa nitanunua tu ikibaki hata jero ama buku siombi chenchi na muachia hivyo tukawa marafiki.

Basi siku hiyo ikabidi nimchokoze kumuulize wewe kaka mkubwa uliwaza nini hadi ukafungua hapa kibanda na kimekuwa msaada sana? kwa kifupi aliongea mengi sana ila point kuu niliyotoa pale akasema hapendi kuomba omba kama wale wengine wanao pita mtaani wakisukumwa huku wamebeba vikombe wakiomba hela kwa watu..... tulipiga story nyingi hadi akaniambia siku moja basi niende kwakwe.

Nikamuahidi nitaenda na kweli siku ikafika nikaenda nilipofika nikakuta jamaa yule kajenga nyumba2 za mgongo wa tembo ile moja nahisi ilikuwa vyumba2 na sebure halafu ile sisi tuliyokaa na kula kuku pale il;ikuwa chumba na sebure.

Nilimpongeza sana na bahati nzuri watoto wake shuleni wanabukua vizuri mno asee.Niliwiwa kumpa 50k cash na hapo hapo akasema kesho naanza kuuza mafuta ya petrol kwa ajiri ya waendesha pikipiki maana huwa wanapita pale mafuta yamewaishia!! Mkuu nilijisikia furaha kubwa mnoo kubwa mno moyoni mwangu baada ya siku kadhaa kupita pale nikakutapa kweli kuna makopo kama 5 hivi ya mafuta hadi ya buku anayo pale.Sikuona shaka tena nikamuongeza 50k nyingine nikawambia hii sasa shemeji kampe nae 20k hii ya kula tu..Tukataniana nikaondoka.

Hii nitajihidi nipige picha niweke hapa hapa ili watu waamini kuwa nikweli. Nikibahatika kupita anga hizo nitampiga picha rafiki yangu huyu tena kwa kumuoma kuwa nakupost hawezi kataa.

Japo lilinigusa kwenye comnment yako ni hili....Binadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kaz.............
 
Asante mkuu,pongezi sana kwa huyo rafiki yako, mhimu sana watu tujitambue,mungu kashatuumba na ufahamu wa mambo,haijalishi ukoje kimwonekano,kiumri nk,unatoboa ukiwa na nia.
 
Ahsante mkuu.Binafisi msomi anayechagua kazi na awe mwanaume ni wakuonewa huruma sana.Wapo wengi hii ni mifano michache tu mwingine kiangazi hiki kilichopita kaanza kupamba kwenye sherehe huko kijijni na analipwa 20-30k. Ksomea butimba pale huwa anakuja kabisa nyumbani kuwa shangaa kuku maana mi nafugia kwa wazazi kuku wangu. Ajabu ni kwamba hata kujifunza wala kuuliza naqwezaje kwa miaka hiyo yote hajawahi uliza ..kajitolea hadi shule zika mchoka ndo akabuni hii kazi ya upambaji (mapambo)

Na yenyewe ukiangalia tu unaona wazi kabisa hii kazi inafanywa na mtu asiye na elimu hata kama tatizo ni mtaji lakini kwa namna ya utandawazi wa sasa hata ukiingia youtube unajifunza maarifa mapya kila uchwao.

Ningeweka picha zake hapa maana hupost facebook kazi zake lakini sitaweza.
Msitiri tu japo ni promotion pia ungemfanyia,

but dawa na suluhisho mbadala la kiuchumi kwa vitendo ni hilo uliloeleza hapo juu kabla,

ninaamini kuna baadhi ya wadau wamelichukulia kwa uzito unaostahili, na mwanzo wa mwaka huu wanaanza mradi huo ambao umeueleza kwa lugha rahisi sana.

Mpaka kufika mwisho wa mwaka kuna shuhuda tutazipata humu jukwaani kutoka na dawa ya kujikwamua kiuchumi uloiweka wazi kwenye koment yako gentleman 🐒
 
Wewe ni lijamaa fulani ambalo watumishi ambao akili zetu zimeharibiwa na ghiriba za maisha tunatamani tukuandikie barua za kuomba uwe rafiki yetu Ila tunaona aibu maana unaweza kukataa .

Bro ,heshima yako ,naweza kuwa mshikaji wako wa damu na jasho ?
hana hiyana huyo muungwana,

ila nadhani wasomi wasio na ajira ndio wanamuonea aibu zaidi, kitu ambacho sio kizuri. Ni muhimu kujishusha na kuvumilia kwa kipindi kifupi tu na mambo yanaweza kua mazuri zaidi kiuchumi.

Tusione aibu kuambatana na kuandamana na waliofanikiwa kiuchumi, waliofeli wametuchelewesha na kutukatisha tamaa sana sana ndrugu zango 🐒
 
Mheshimiwa ,usilolijua ni sawa na usiku wa kiza .
Issue iko hivi ukiwa umeajiriwa Tena vijijini uwa tunajihisi kuwa sisi ndiye wenye haki ya kuwa matajiri na kuwa na uchumi mkubwa kisa mwisho wa mwezi tunakinga tumikono twetu ATM

Sasa ikitokea mtu Kama huyu jamaa ambaye amesema Mimi nimekuwa rafiki yake wa damu na jasho ,uwa Kuna ile karoho fulani ka kwanini yeye ,ni hapo Kama ni mtendaji au ,mwalimu ,daktari au hata polisi kata tunagenerate roho mbaya juu ya huyo mtu hata kuomba ukaribu naye unakuwa unahisi wenzio watakuona snitch .

Ni hivyo mheshimiwa ,Ila vipi bwana ofisini kwako hapo huna mpango wa campain manager mwaka huu Kaka ? Najiona nikiwa vizuri kabisa mheshimiwa nikumbuke mwenzio na Mimi walau nizurule kidogo mijini mheshimiwa 🙏
 
Cha kumwambia huyo Bwana Mkubwa, Maisha yanaanza paleunazaliwa na kuisha pale unapofariki. Hivyo kuwa na miaka 40 sio kigezo cha kukufanya ukate tamaa ya kupambana kutafuta hela, Unaweza ukaoa ukiwa na miaka 40 na bado ukaja kuwa na familia njema tu na furaha. Kitu ambacho katika miaka ya karibuni nimekua nikikiona kama ulemavu wa akili hasa kwa vijana wale wanaodai hawana ajira hivyo mambo yao hayaendi au wanaona kama future yao imevurigika. Niseme tu, kwa mtizamo wangu, ajira sio suluhu au tiketi ya kuchomoka kimaisha. Ajira ni ticket ya kuwa na uhakika wa kula na kunywa basi na sio zaidi ya hapo. Ukitaka uhakika mwingine zaidi inabidi uwaze nje ya Box.
Kwangu mimi, ajira hasa za serikali ( in exception of Higher Positions) ni utumwa na limbwata ambalo wengi wameshikika kweli kweli na limbwata hilo limekolezwa na urahisi wa kupata mikopo. Watumishi wengi wa serikali wapo kwenye circle ambayo mimi naiita Rat Race Trap (RRT) ambayo ni Working hard, Earn and Spend. So mtu aliyepo mtaani na hana ajira awaze tu nje ya Box, ajifunze skill yoyote huko mtandaoni. Atafute kakibarua hata kwenye kupandisha zege kwenye majumba akibahatika ku save 500k anunue Laptop pale kariakoo alfu apambane tena ku save anunue Simu yenye uwezo mzuri wa Kamera aanze na content creation ambazo zinaweza kua Faceless au za kuonekana. Anaweza asianze kupata hela miezi ya mwanzo ila baada ya Miezi sita anaweza akawa anatengeneza Hela nzuri kuliko hata hawa waliochomekea na vitambi wanaolipwa 500k take home. Kwa hiyo, nimtie moyo huyu mwamba awaze nje ya box ataacha kuziwaza ajira za Serikali.
Wanaonufaika na Ajira ni wale wenye nafasi za njuu ila hawa wa Chini ni Shida tupu, watu wanatembea wananuka madeni wakishindana kusomesha watoto kwenye ahule za gharama kubwa kuliko vipato vyao.
 
My Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.

Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?

Kumbuka pia kijana hana ajira, biashara wala hajishughulishi na chochote, huku umri wa kuajiriwa nao unamtupa mkono kimasihara masihara tu.

Nimeonelea ni muhimu kusaidiana kwa mawazo na matendo, na zaidi sana kuaambiana ukweli, lakini pia kuonyeshana njia muafaka ya kutoka kwenye huo mkwamo wa kifedhea wa maisha wanayopitia.

Kumbuka, kijana akiambiwa suala la mchango tu, baada ya kuplage anazima na simu kabisa maana ni mtu mzima lakini hana jambo lolote kiuchumi.

Ni upi ushauri wako kwa vijana katika msimu huu wa kilimo na mwaka mpya2025?[emoji205]

Mungu Ibarki Tanzania
40 yrs ni Kijana!?
 
Mheshimiwa ,usilolijua ni sawa na usiku wa kiza .
Issue iko hivi ukiwa umeajiriwa Tena vijijini uwa tunajihisi kuwa sisi ndiye wenye haki ya kuwa matajiri na kuwa na uchumi mkubwa kisa mwisho wa mwezi tunakinga tumikono twetu ATM

Sasa ikitokea mtu Kama huyu jamaa ambaye amesema Mimi nimekuwa rafiki yake wa damu na jasho ,uwa Kuna ile karoho fulani ka kwanini yeye ,ni hapo Kama ni mtendaji au ,mwalimu ,daktari au hata polisi kata tunagenerate roho mbaya juu ya huyo mtu hata kuomba ukaribu naye unakuwa unahisi wenzio watakuona snitch .

Ni hivyo mheshimiwa ,Ila vipi bwana ofisini kwako hapo huna mpango wa campain manager mwaka huu Kaka ? Najiona nikiwa vizuri kabisa mheshimiwa nikumbuke mwenzio na Mimi walau nizurule kidogo mijini mheshimiwa 🙏
Gentleman,
ni kupambana hasa aise licha ya hizo hali, hakuna haja ya kusubiri life forces zikushinde nguvu.

hatua niliyonayo hivi sasa,
mapito yake yanashabihiyana huyo muungwana Nikifa MkeWangu Asiolewe japo katika uelekeo tofauti,

maamuzi magumu yenye kusudi la kufikia malengo Fulani na uthubut ni mambo muhimu sana katika maisha.
Ni muhimu kua nayo.🐒
40 yrs ni Kijana!?
hebu muelezee kwa kina kifupi, na kisha mpatie mawaidha kwa faida ya wadau gentleman 🐒
 
My Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.

Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?

Kumbuka pia kijana hana ajira, biashara wala hajishughulishi na chochote, huku umri wa kuajiriwa nao unamtupa mkono kimasihara masihara tu.

Nimeonelea ni muhimu kusaidiana kwa mawazo na matendo, na zaidi sana kuaambiana ukweli, lakini pia kuonyeshana njia muafaka ya kutoka kwenye huo mkwamo wa kifedhea wa maisha wanayopitia.

Kumbuka, kijana akiambiwa suala la mchango tu, baada ya kuplage anazima na simu kabisa maana ni mtu mzima lakini hana jambo lolote kiuchumi.

Ni upi ushauri wako kwa vijana katika msimu huu wa kilimo na mwaka mpya2025?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Akae mbali na Ccm na asiwe chawa Kama kaka yake mwenye 50+ Ila analipwa 7K Kwa uchawa
 
Back
Top Bottom