Binadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kazi yakufanya,maadamu ni halali,mwenye elimu yake anaweza hata kufungua darasa la watoto akafundisha hata chini ya mwembe,akajiingizia kipato,dunia hii omba sana tu,mungu akujaalie uendelee kuwa na afya, maana mtaji wa kwanza ni huo.