Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.
Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu wenyekiti ni kwasasabu alijua wazi tayari hangeshinda nafasi ile na kwahivyo hangeweza kua mgombea urasi kupitia Chadema Oct 2025.
Chaguo lake la kukurupuka hivi sasa ni funyu mno, na ni moja tu ndani ya Chadema, ambalo ni kushinda uchaguzi katika nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, nafasi ambayo kushinda kwake kuna ugumu wa kiwango cha juu sana, kama ule wa ngamia kupita katika tundu la sindano.
Kwa kifupi,
hakuna uwezekano huo, wala hakuna fursa wala nafasi kwa Tundu Lisu kumshinda mwenyekiti alieko madarakani hivi sasa pale Chadema.
Zaidi sana,
hakuna mazingira wala uwezekano wa Tundu Lisu kubaki na kuishi tena ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Kama kawaida yake ya kujipambanua kinafiki kwamba ooh ahami mtu Chadema, sijui ooh tutabanana humu humu n.k ni uongo wa mchana kweupe. Sote tunafahamu mdomo wa na tabia za muungawana kukana maneno yake mwenyewe baadae. Hakuna haja ya kukeep reference kwenye ahadi zake hewa.
Kama mdau na mshauri wa masuala ya siasa na demokrasia humu JF na nchini Tanzania kwa ujumla,
Tundu Antipas Mughwai Lisu atakaposhindwa uchaguzi huo kwa fedheha sana, una mshauri ajiunge na chama gani cha siasa ili akaendeleze siasa zake za ubinafsi, ubishi na kuropoka ropoka?
Na,
unadhani vyama gani vya siasa humu nchini huenda vitamkataa au kumpokea?🐒
Mungu Ibarki Tanzania.