Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

Chuki kwa lipi mtoto?
Binafsi naona unachokiandika ni kilekile, Kwa mapenzi yako na Mbowe shida ipo wapi ukiwashawishi wanachama huko kwenye mkutano mkuu kuliko kila dk kuleta uzi hapa?
gentleman,
umekunywa chai kweli this morning?

kuna uchaguzi Jan.21.2025 ama hujui?
na unaweza kubadilisha huo uchaguzi ukauita nini kwa mfano, ili wadau tujifunze pia? ati content ni ile ile 🤣

We inaonekana kwa chuki zako binafsi, umeichoka hata JF Jukwaa la Siasa, kwasababu jukwaa ni lile lile, na content ni lazima ziwe za siasa tangu kuanzishwa kwake 🐒
 
TAL anashinda uchaguzi, Mbowe hana numbers za kuweza pindua matokeo, ndio maana hadi sasa unaona yupo kinyonge sana akihubiri umoja baada ya uchaguzi kuisha, maana anajua tayari numbers hazidanganyi.

TAL aligombea TLS, figisu zikawa hivi hivi na akatoboa, Mwabukusi alikutana na Figisu hizi hizi na akatoboa TLS.

Sio kwamba kila unapopata uungwaji mkono na mamlaka basi they are willing to go extra mile kwa ajili yako, usipobebeka basi wanakutema tu.
Gentleman nadhani,
unapozungumzia numbers ni muhimu zaidi kuzingatia idadi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, kulingana na kanda 10 za kiutawala Chadema, misimamo ya wakuu wa kanda hizo na influence zao kwa wajumbe, misimamo ya wenyeviti wa mikoa na wilaya na ushawishi wao kwa wajumbe wanaowaongoza.

kuzingatia makelele na ndururu za mitandaoni zitaumbua watu halafu wakaanza kuangua vilio na mayowe yasiyo na ukomo.

hayupo wa kumshinda Freeman Aikaeli Mbowe in terms of numbers 🐒
 
NTobi tangu uondolewe marakani unapapara kweli
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.

Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu wenyekiti ni kwasasabu alijua wazi tayari hangeshinda nafasi ile na kwahivyo hangeweza kua mgombea urasi kupitia Chadema Oct 2025.

Chaguo lake la kukurupuka hivi sasa ni funyu mno, na ni moja tu ndani ya Chadema, ambalo ni kushinda uchaguzi katika nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, nafasi ambayo kushinda kwake kuna ugumu wa kiwango cha juu sana, kama ule wa ngamia kupita katika tundu la sindano.

Kwa kifupi,
hakuna uwezekano huo, wala hakuna fursa wala nafasi kwa Tundu Lisu kumshinda mwenyekiti alieko madarakani hivi sasa pale Chadema.

Zaidi sana,
hakuna mazingira wala uwezekano wa Tundu Lisu kubaki na kuishi tena ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Kama kawaida yake ya kujipambanua kinafiki kwamba ooh ahami mtu Chadema, sijui ooh tutabanana humu humu n.k ni uongo wa mchana kweupe. Sote tunafahamu mdomo wa na tabia za muungawana kukana maneno yake mwenyewe baadae. Hakuna haja ya kukeep reference kwenye ahadi zake hewa.

Kama mdau na mshauri wa masuala ya siasa na demokrasia humu JF na nchini Tanzania kwa ujumla,

Tundu Antipas Mughwai Lisu atakaposhindwa uchaguzi huo kwa fedheha sana, una mshauri ajiunge na chama gani cha siasa ili akaendeleze siasa zake za ubinafsi, ubishi na kuropoka ropoka?

Na,
unadhani vyama gani vya siasa humu nchini huenda vitamkataa au kumpokea?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Ndio kazi yake kaka 😂😂 mwanzo walikuwa wanajulikana kama Lumumba buku saba, saivi mama kawaongezea posho wanalipwa 20k kwa siku ili kusukuma hashtag mtandaoni
 
Mungu Ibarki Tanzania.
Aje awe baba yako nyumbani kwenu.
 
Kwani huko CCM hamshindwi kwenye uçhaguzi? Huwa mkishindwa mnahamia chama gani ili tundu nae akishindwa ajiunge huko.
 
Ndio kazi yake kaka 😂😂 mwanzo walikuwa wanajulikana kama Lumumba buku saba, saivi mama kawaongezea posho wanalipwa 20k kwa siku ili kusukuma hashtag mtandaoni
waelezee vizur wadau wa JF kwa kina kifup zaidi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom