gentleman,Chuki kwa lipi mtoto?
Binafsi naona unachokiandika ni kilekile, Kwa mapenzi yako na Mbowe shida ipo wapi ukiwashawishi wanachama huko kwenye mkutano mkuu kuliko kila dk kuleta uzi hapa?
Gentleman nadhani,TAL anashinda uchaguzi, Mbowe hana numbers za kuweza pindua matokeo, ndio maana hadi sasa unaona yupo kinyonge sana akihubiri umoja baada ya uchaguzi kuisha, maana anajua tayari numbers hazidanganyi.
TAL aligombea TLS, figisu zikawa hivi hivi na akatoboa, Mwabukusi alikutana na Figisu hizi hizi na akatoboa TLS.
Sio kwamba kila unapopata uungwaji mkono na mamlaka basi they are willing to go extra mile kwa ajili yako, usipobebeka basi wanakutema tu.
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.
Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu wenyekiti ni kwasasabu alijua wazi tayari hangeshinda nafasi ile na kwahivyo hangeweza kua mgombea urasi kupitia Chadema Oct 2025.
Chaguo lake la kukurupuka hivi sasa ni funyu mno, na ni moja tu ndani ya Chadema, ambalo ni kushinda uchaguzi katika nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, nafasi ambayo kushinda kwake kuna ugumu wa kiwango cha juu sana, kama ule wa ngamia kupita katika tundu la sindano.
Kwa kifupi,
hakuna uwezekano huo, wala hakuna fursa wala nafasi kwa Tundu Lisu kumshinda mwenyekiti alieko madarakani hivi sasa pale Chadema.
Zaidi sana,
hakuna mazingira wala uwezekano wa Tundu Lisu kubaki na kuishi tena ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Kama kawaida yake ya kujipambanua kinafiki kwamba ooh ahami mtu Chadema, sijui ooh tutabanana humu humu n.k ni uongo wa mchana kweupe. Sote tunafahamu mdomo wa na tabia za muungawana kukana maneno yake mwenyewe baadae. Hakuna haja ya kukeep reference kwenye ahadi zake hewa.
Kama mdau na mshauri wa masuala ya siasa na demokrasia humu JF na nchini Tanzania kwa ujumla,
Tundu Antipas Mughwai Lisu atakaposhindwa uchaguzi huo kwa fedheha sana, una mshauri ajiunge na chama gani cha siasa ili akaendeleze siasa zake za ubinafsi, ubishi na kuropoka ropoka?
Na,
unadhani vyama gani vya siasa humu nchini huenda vitamkataa au kumpokea?π
Mungu Ibarki Tanzania
mdudu manyagali kumbe upo aise dah π
Aje awe baba yako nyumbani kwenu.Kwasababu ni wazi,

Mungu Ibarki Tanzania.
Kwani huko CCM hamshindwi kwenye uΓ§haguzi? Huwa mkishindwa mnahamia chama gani ili tundu nae akishindwa ajiunge huko.Kwasababu ni wazi,

waelezee vizur wadau wa JF kwa kina kifup zaidi gentleman πNdio kazi yake kaka ππ mwanzo walikuwa wanajulikana kama Lumumba buku saba, saivi mama kawaongezea posho wanalipwa 20k kwa siku ili kusukuma hashtag mtandaoni

Tukutane kwa boxrelax bila makasiriko gentleman na itapendeza sana π