Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

Tlaatlaah ukiamka TAL ukilala TAL ukienda chooni TAL punguza hizo bro huna kazi ya kufanya. Nyuzi ulizoziandika kuhusu TAL/CDM zinatosha sasa
Mimba aliyopewa na Lisu inamtesa sana, kila akilala anamuota Lisu tu
 
Chawa wa ccm mwenye mapenzi na Mbowe.
Kila akilala anamuota mume wake ambaye ni Lisu na kukimbilia huku jf kumwanzishia nyuzi
 
Mimba aliyopewa na Lisu inamtesa sana, kila akilala anamuota Lisu tu
relax bila kubabaika gentleman,

mshauri Lisu ahamie chama gani cha siasa baada ya kuangukia pua kwenye uchaguzi wa Chadema Taifa Jan 21.2025?

hakuna haja ya kumbwelambwela na kusingizia ati lisu ana mimba, ile ni kitambi gentleman πŸ’
 
relax na kujiepusha na makasiriko gentleman, ikiwa huna ushauri kwa lisu kwamba ahamie chama gani endapo ataangukia pua kwenye uchaguzi wa Jan.21.1.2025?πŸ’
Chawa wa ccm mwenye mapenzi na Mbowe.
Kila akilala anamuota mume wake ambaye ni Lisu na kukimbilia huku jf kumwanzishia nyuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…