Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
usinigombanishe πMtaje unaemtaka, ikiwezekana mmwagie sifa π π π
Uko na nani?Mje wote mtakane upya
Kama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Hapana dolari 200 hazihusiani hapaπ€π₯° sio kwa kigezo cha dolari mia mbili lakini π
BitokeNa wewe ukoje?
Mzamie ndani, myajengeMiaka kitu gani kwani? Ukuni upo au haupo? Tuanzie hapo kwanzaπ
Na shemeji yakoUko na nani?
Nguzo mbili zimebeba mzigo mzito sanaView attachment 2600305
Awe hvi tu mpka nyumba na gari za urithi nampa
Aje hapa chapu kabla sijafirisika
Nani huyo?Na shemeji yako
Ngoja niongee na mhasibu wangu Depal anishauriHapana dolari 200 hazihusiani hapaπ€
Ila kama uliahidi itabidi unipee tu hamna namna
π€£π€£ watu wa JF bwana!FaizaFoxy ili nimbatize Kwa maji mengi maana kazidi ubishi
Wa hivi humtaki? yupo karib kabisaHuyu unamla bila kachumbari ππ
Umeona eeehhh mafusho muhimuπππ!ππππKwakweli tusisahau na mafusho πππ
Tuma na yakutolea ushatajwaπ yeye kauliza kama bado hajataja direct
Hao watakuwa ni reject 'wanaume ambao hawajakamilika na kuchukua haiba ya kike'Kupenda mtu humu ni aina nyingine ya wazimu...Wanaume mnatongozana sana humu nyie kwa nyie. Hongereni mliopata mbususu.