Huyu unamla bila kachumbari ππKama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
em ngoja kwanza [emoji3]Mje wote mtakane upya
Pole kwa kupigwa kibutiKuna mmoja alijiona Keki kisa tu nilionyesha kumjali, nami nikaamua kumpotezea mazima,hakujua kua kapishana na Gari la mishahara,
Life is too short usiwe slaves wa mapenzi kupita kiasi.
[emoji41][emoji41]
Sikupigwa kibuti mkuu.Pole kwa kupigwa kibuti
Vumilia
Mnaowataka ni hao ila tupo sisi wenye vipara at 21yrs ageKama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Hebu tuone pichaMnaowataka ni hao ila tupo sisi wenye vipara at 21yrs age
Hawa wengi wanapumuliwaKama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Eeehπ π mwambie akutumie mikono yakeπ π πMiaka kitu gani kwani? Ukuni upo au haupo? Tuanzie hapo kwanzaπ
Umejuaje? Au we ndio unawafanyiaga ? πββοΈHawa wengi wanapumuliwa
Mtakimbia humu sitak kuharibu post ya watuHebu tuone picha
My wangu πππau basiKama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Wakija wengi nitakusogezea wangu π€£πMy wangu πππau basi