Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Si ananisomesha mimi?🤣🤣🤣Anamwita Nani Tena?hivi ana Nini lakini hatulii?
Hata kama ni kipepe si aende kwa mtu wa mbali kidogo jamani, anataka kutugombanisha huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ananisomesha mimi?🤣🤣🤣Anamwita Nani Tena?hivi ana Nini lakini hatulii?
Ukubwa WA gari ila nafasi ya driver ni ile ileView attachment 2600305
Awe hvi tu mpka nyumba na gari za urithi nampa
Aje hapa chapu kabla sijafirisika
Huyu sio Shoga kweli?? I am worried 😫Kama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Mmeamia kwenye waxing au ?Hivi kuna watu bado wanatumia wembe karne hii🤣🤣
Huenda sio fungu langu,kikubwa unafuraha na amani hilo ni jambo jema kwangu.Ulitakiwa hata kukopa ukope kwa ajili yangu, ndio niamini kweli unamaanisha
muite aje aanze kuleta vurugu hapa 😂si mbona tunapendana toka mda eti Gily au nikutaje wakujue kipenzi 😊
Atakuelewa tuDah masikhara hivi hivi mtu anapata mental disorder kwasababu ya mapenzi., Inauma kinom a kumkosa unayem_feel huyo mwanamke naamini mimi ni perfect match wake kabisa, sema tu haelewi, ila ukweli ni kwamba hatojutia kunielewa.
Yaani Nia yake nikununie shosti yangu,Sasa safari hii tutaungana Kama majeshi ya NATO kwa Putin,we akikupa ada soma na Mimi naenda kutafuta chuo atusomeshe wote tuSi ananisomesha mimi?
Hata kama ni kipepe si aende kwa mtu wa mbali kidogo jamani, anataka kutugombanisha huyo
Weee u dj hapana, asije kutupigia nyimbo za singeli bure akatuharibia sherehe.Bora tukupe kitengo kingine. Hicho Cha u dj, unaweza Zima mziki wakati tunaingia ukumbini 😅😅😅
Kipenzi Lenie mchagulie kitengo
Ukianza kutumika kwenye hayo maeneo mengineHata saizi wembe unatumika kichwani tena kunyolea upaa ila bado sijuwi!
Ndioooo hivyo ndio inabidi kuenenda maana anajikuta baba huruma.Yaani Nia yake nikununie shosti yangu,Sasa safari hii tutaungana Kama majeshi ya NATO kwa Putin,we akikupa ada soma na Mimi naenda kutafuta chuo atusomeshe wote tu
Fanya kitu, kijana akae sawaKwa hiko kiherehere wa kukupenda labla malaika[emoji23][emoji23]
Asante kwa kuwa muelewa, nami nakutakia mafanikio kwa yule mwingineHuenda sio fungu langu,kikubwa unafuraha na amani hilo ni jambo jema kwangu.
Hicho kitendo kinamfaa, sherehe itaenda vizuriWeee u dj hapana, asije kutupigia nyimbo za singeli bure akatuharibia sherehe.
Huyo tumuweke kwenye vinywaji, ili apige vyombo kutoa machungu
Asugue masufuria[emoji23]Weee u dj hapana, asije kutupigia nyimbo za singeli bure akatuharibia sherehe.
Huyo tumuweke kwenye vinywaji, ili apige vyombo kutoa machungu
Ufanye basi mapema watu wale pilau, kabla hujabadili mawazoHicho kitendo kinamfaa, sherehe itaenda vizuri
Hapana sina any bad intentionPalina unanitia majaribuni lakini, unataka kunisahaulisha Aaliyah Nini.
Hizo ndevu ni kipindi nasoma chuo kama miaka minne iliyopita sasahivi ni babu zaidi😂