Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Vere soon, wee andaa suti tu.
Kama hujavaa suti ukumbini huingii

Mambo yametaradadi, au sio baby Analyse πŸ₯°
Huyo anaulizia sana hadi naanza kupata wasi wasi. Kwanza inabidi aseme ana ahidi mchango kiasi gani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Usijali baby Lenie , kila kitu kipo kwenye mstari 😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…