Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Mapenzi hayaji bila kuona picha na kusikia sauti na kuona uso kuona angalau mwendo.Kwa maana hiyo hapa JF kanuni ya moyo haifanyi kazi kwa sababu hata ukiona huwa si halisi.
Safari moja uanzisha nyingine, penda ID mengine yatafuata 😀😀😀
 
😂😂😂😂 Tyuko na furahaaa kubwaaa sana shemelaa Mbantyuuu ni chombo ya kwendraaaa!! Mtrotro Mkareeeeeee sana huyoo hakika umejua kuchaguaaa!!🤩🤩🤩!!
Nimeotea mkuu.
Nilibahatisha kwenye ule uzi wa selfika sio mtembeleaji sana. Miaka yote nimeotea kuwaona wadada wawili tu so huwa siuzingatii sana. Majuzi sasa ndio nakutana na Bantu Lady

Ni kazuri halafu ka mwananchi mwenzangu😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…